Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie kumbe mna haki kunidis km sura zenyewe ndo hizo za SONGESHA [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Nipee ubuyuuu uduguuu, nisogezee kulee maeneo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uduguuuu pambeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Udugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna watu wafupi kutoka fasii ya Kongo eti wanajifananisha na me [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]

Nyie mbona wanatia huruma sana, sura mpk camera zinagoma yani mashavu km mimba ya panya khaaaaaa
 
Uduguuuu sitakiiii niwekee kulee huu ubuyuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nipee ubuyuuu uduguuu, nisogezee kulee maeneo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoja nikuletee sura lake ulione kwanza yaani yupo km mbuni anayejifunza kukimbia nywele kichwani hazieleweki sijui kapaka zazuu na vyenyewe fupi bwaaahaaa [emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]

Ngozi ya uso ipo km ya kenge mafuta yamegoma nyie mi sitaki, si bora angekataa kuumbwa mwanamke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamani nimeacha rasmi kugombana kuna mtu anakasirika anatamani ningekua karibu aniwashe makofi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila anayeona me mke mwenzie au adui yake kivyovyote vile aje aniquote na aseme shida yake nini?? Ili tumuombe Mello atupe uwanja tupigane jf iingize mapato [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Back
Top Bottom