Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Siku hizi hakuna mahaba yeeh!
Mashaba,
Mapenzi ya mkataba mpaka kufa yamekwisha,
Ni neema tuna hema mapenzi yanachosha yanafuja raha,
Nafsi yangu inasema bora nimpende tu alonizaa,

Uchungu wa kulia daily,
Mapenzi yalinifanya nisile,
Sina kumbukumbu hile kwamba ulinikosha noo,

Uchungu wa kulia daily,
Mapenzi yalinifanya nisile,
Sina kumbukumbu hile kwamba ulinikosha noo,

Mwanzako mi nilikufa nikazikwa nikaoza,
Mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefufuka yeeh!
Mi nilikufa nikazikwa nikaoza,
Mapenzi yalinitesa nimefufuka yeeh!,
_
_______

DjView attachment 2720961
mbavu cnaaa wallah.
 
One day while my light
Is glowing
I'll be in my castle golden
But until the gates are open..

I just want to
Feel this moment
Whoa, whoa oh oh
I just want to
Feel this moment
Whoa, whoa oh oh
I just want to
Feel this moment 🎶🎤🎧 raraa reree
 
We mbona mda wote una waza kukazana tu🤔, my dear hebu be serious for a little.
👉Niko nasoma article fulani makini Sana, so I don't expect mtu ani tag uhovyo🤒🙉🤐
Haya kama umenichoka nimesoma comment yako hapa halafu nikaona unahitaji a lady nikaona nijitolee kukulipia guest uzagamue mmoja atakayekuwa tayari nimekosea wapi ndugu . Unasoma article Tanzania hii na mmeshauzwa si bora uangalie video zazamani kuhusu watumwa walichukuliwa nawaarabu walifanyawaje??
 
My kigoriii Nuzulati na single Lenie hebu ibebeni hii mbweha🤒🤐🙉
 
Back
Top Bottom