YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,154
- 36,361
We sema kweli??





Mwachiluwi kumbe kuna wifi mpya na hutuambii dada zako? Sijapentraaaaaaa!!!
Nani ataandaa kamati ya kumtunza bi harusi





nakubali sana wadada wanaoskiliza afrobeats
sio kila saa mbosso tu😂
Ndio madogo haoMshamba tunakoelekea atanibaka ananiwaza sana huyo mchugga mwenzio![]()
Yes, J3 iwe hivyo. Nipo pembeniMpe namba ya wakala akuwekee pesa ya kulewa bas ila ukumbuke j3 tuna jambo letu![]()

Mhhhh yamekua haya tena haya subiri hapo hapoSelfika
SibandukiMhhhh yamekua haya tena haya subiri hapo hapo
My Love,How are you doing?
Duin okay swetiee.My Love,How are you doing?
Akipotea mletee bamia🏃🏃🏃Asante.
To yeye nipo nangoja.
😂😂😂😂WuuuhAkipotea mletee bamia🏃🏃🏃
Hellow kipenzii..za masiku?? Nimekumiss
Umeniwahi sis nilitaka nikwambie hivo.Hellow kipenzii..za masiku?? Nimekumiss
Muda huu nipo tayari watu wamelala rusha chapuu..nimesema kesho nikijua haupo onlineKesho ukiwa tayali utanitag tu usijal kabisa sis