Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,487
- 65,822
😂😂😂😂 uyo jukumu lako mzeeMsomeshe Unique Flower kwanza
😂😂😂😂 uyo jukumu lako mzeeMsomeshe Unique Flower kwanza

_______
Hajatuma bahili huyu




Hongeraaaa.....ila mie sitaki vocha ninazo za kutoshaaaaHujaongea vizuri na tajiri wewe, mbona me huku zimefika km zoteeeeeeee!!!![]()
Siku hizi hakuna mahaba yeeh!
Mashaba,
Mapenzi ya mkataba mpaka kufa yamekwisha,
Ni neema tuna hema mapenzi yanachosha yanafuja raha,
Nafsi yangu inasema bora nimpende tu alonizaa,
Uchungu wa kulia daily,
Mapenzi yalinifanya nisile,
Sina kumbukumbu hile kwamba ulinikosha noo,
Uchungu wa kulia daily,
Mapenzi yalinifanya nisile,
Sina kumbukumbu hile kwamba ulinikosha noo,
Mwanzako mi nilikufa nikazikwa nikaoza,
Mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefufuka yeeh!
Mi nilikufa nikazikwa nikaoza,
Mapenzi yalinitesa nimefufuka yeeh!,
_
_
Natamani kuwa single hila nina upwil unanikaba kooh__________
DjView attachment 2720961




Hongeraaaa.....ila mie sitaki vocha ninazo za kutoshaaaa




Silewi shogaangu najiandaa na j3Mpe namba ya wakala akuwekee pesa ya kulewa bas ila ukumbuke j3 tuna jambo letu![]()
No time for totoz, iam just aiming on my .....No malice to totoz
Mimi hayanitesi, yamenifit mbonaJinyonge shogare kwann mapenzi yakutese![]()

SI ume toka kulilia vocha Jana😂🤣😂mimi natumia unlimited internet ndo maana nakesha jf😂
🤣🤣🤣🤣 shem unanitafutia ugomvi wa maweShem kwa hii comment unanidai vocha ya buku 10 umenichekesha sana![]()
Unachochea vitaKwann![]()
Unachochea vita
Unamjua maua wewe



Maua shosti angu hana tatizo yeye mwenyewe anakupenda kufa basi tu afanyeje!!!!Vita yake ni hatariMaua shosti angu hana tatizo yeye mwenyewe anakupenda kufa basi tu afanyeje!!!!