Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,976
Mjep, nina tatizo kidogo usione kimya ndugu yangu.Boss lady usichocheee moto aisee
Mjep, nina tatizo kidogo usione kimya ndugu yangu.Boss lady usichocheee moto aisee
Baadae unipigie unipe summary.Wanaabika vibaya hawajui tu
Humu watu magenius sana aisee😂😂🤣🤣🤣Hahhah nimecheka sana
Nimekuelewa madam poleMjep, nina tatizo kidogo usione kimya ndugu yangu.
Mie treinaaahhhh 🤠🤠!Hawajui wewe ndo Mkemia wetu Mkuu
Janjajanja arts watakuambia nini Madam,🤣🤣🤣🤣
Kama mtu hajui kumix hata chemicals usibishane naye
Asante sana, unaendeleaje?Nimekuelewa madam pole
Kwakweli.Ni kuwaacha tu hawna jipya
Kupenda ubuyu Sasa ngoja siku wakufate wakupe mafile yangu😀😀😀Baadae unipigie unipe summary.
Kila mtu naona ana lalama
Aunt tumia tafsida kidogo🤣🤣🤣Dada ilo tako utawaua watu mtu ukijiangalia upo kama msonobali alafu wee tako kama lote wajikubali tu kama Mimi Sina mbele Wala nyuma 😀😀wataacha makasiriko
🎼🎶Labda nifukiwe chini wala wasiwaongopeeeeeeDada ilo tako utawaua watu mtu ukijiangalia upo kama msonobali alafu wee tako kama lote wajikubali tu kama Mimi Sina mbele Wala nyuma 😀😀wataacha makasiriko
Namshukuru Mungu niko poa kabisa mrembo, hofu kwakoAsante sana, unaendeleaje?
Hahha pole aunt nilikuwa najaribu kuelezea hali halisi 🤣🤣🤣Aunt tumia tafsida kidogo🤣🤣🤣
Afu hata unadhani nina hilo trakkk basiii Kamera tyuu dearrr!!Dada ilo tako utawaua watu mtu ukijiangalia upo kama msonobali alafu wee tako kama lote wajikubali tu kama Mimi Sina mbele Wala nyuma 😀😀wataacha makasiriko
Niko salama kabisa☺️. Nitalifanyia kazi soon kuna kitu ningependa unisaidie.Namshukuru Mungu niko poa kabisa mrembo, hofu kwako
Dah........Hahha pole aunt nilikuwa najaribu kuelezea hali halisi 🤣🤣🤣
Bhana wee lipo Tena ogAfu hata unadhani nina hilo trakkk basiii Kamera tyuu dearrr!!
Hebu tuone kama Kweli umevua miwani😂😂😁!!Dah........
Aibu nimeona mimi wallah😀😀
Nimefuta macho mara 2 nikavua na miwani kuhakiki mwandishi🤣🤣🤣🤣
Kweli Halipoo shougareee!!Bhana wee lipo Tena og
Masikio yao itakuwa mpawa tupu
Akiyanani watu mna vichambo vya jumla jumla
Yule mzungu ponea yake ni kiswahili hajui
Vichambo vya kizungu havinogi
😂😂😂Mnisamehe nililewa kidogo sema huyu dada ni mzuri aisee tuache uongoDah........
Aibu nimeona mimi wallah😀😀
Nimefuta macho mara 2 nikavua na miwani kuhakiki mwandishi🤣🤣🤣🤣