Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unaogopa maneno Madam?
Hata usipochangia mbona utasemwa tu

Maneno yanakutisha?

Binafsi ntaacha kuchangia nikiamua mwenyewe ila si kwa sababu ya maneno ya wapumbavu wachache.
Nishawapotezea,maana hawana kazi,kazi yao ni kutunga tu,
 
Dah! Nimekwazika kweli leo shem
Wanatuma pic imemdindisha babe wangu na mwenyewe niko mbali wanamtakia nini?? Wakampe sasa mfyuuu zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh......
Kweli umekwazika sana
Wamechafua hali ya hewa ndo binadam hao
 
Back
Top Bottom