YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Shem tafadhali inatosha shem
Namuombea huyo mtu msamaha
Yaishe tafadhali shem
Ningemjua tuandae pambano tudundane apatikane mshindi
Shem tafadhali inatosha shem
Namuombea huyo mtu msamaha
Yaishe tafadhali shem
Dah japo sijui kusoma, ila kwanini ukubali kunywa juisi ya mjusi😁🤗Dada ilo tako utawaua watu mtu ukijiangalia upo kama msonobali alafu wee tako kama lote wajikubali tu kama Mimi Sina mbele Wala nyuma 😀😀wataacha makasiriko
Tulia kijana utapigwa supp mfululizo hadi ushangae, unapambana na lectuler wako huku kwa totozniseme nini tena😂 ila mjep aisee
Pacha huachii tu 😂🤣🤣, na hivi una ugonjwa was uchizi😂🤣Ningemjua tuandae pambano tudundane apatikane mshindi
Asantreeeeeeeeee [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]!!
Beautiful [emoji8][emoji8]! Uhair sasa [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]!!
😂😂😂Dah japo sijui kusoma, ila kwanini ukubali kunywa juisi ya mjusi😁🤗
🤣🤣🤣🤣Walikuwa wanasema kila siku nina mawig haya leo nimefumua nywele hizo nyoko zao, nao walete vichwa vyao km tunda za ubuyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sawa tu🤣 acha niteseke nyuma ya keyboardTulia kijana utapigwa supp mfululizo hadi ushangae, unapambana na lectuler wako huku kwa totoz
We kijana wewe😀😀
Never mind
Mdaka machozi yako nipo hapa.
Oya sema umesimamia ukucha maninah.
Mwambie pacha atuliePacha huachii tu 😂🤣🤣, na hivi una ugonjwa was uchizi😂🤣
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa 🤣🤣🤭Mpige kifurushi cha mwezi kabisa.
She deserves
Hana baya 😂😂😂Never mind
Mdaka machozi yako nipo hapa.
Oya sema umesimamia ukucha maninah.
Kwa hiyo rangi braza anapata cha miezi mitatu😀😀😀Mpige kifurushi cha mwezi kabisa.
She deserves
🤣🤣🤣🤣🤣 nimechekaNyie NYOKA tyr mshachukua nifute na sura zenu nzito km zimemwagiwa uji mzito afu ushuka slowly Mxxiewwww
Thubutruuuuuuu !!! Ataeleta hata unyayo wake truuuu ukakufikia nimekaa paleeee 👉👉🤣🤣🤣🤭!!Walikuwa wanasema kila siku nina mawig haya leo nimefumua nywele hizo nyoko zao, nao walete vichwa vyao km tunda za ubuyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini uteseke wakati mdaka machozi Niko hapa.[emoji23][emoji23][emoji23] Ntakuchapa
Selfika Basi mchumba🤗Mwambie pacha atulie
Pacha wangu,Sema una komwe kubwa 🤣😂😂🤣Walikuwa wanasema kila siku nina mawig haya leo nimefumua nywele hizo nyoko zao, nao walete vichwa vyao km tunda za ubuyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]