financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,512
Nipo mkuu dunia inanipeleka mbio(ubusy) habari ya huko ulipo?Mrembo umepotea sanaa
Nimekumiss hadi basi
Nipo mkuu dunia inanipeleka mbio(ubusy) habari ya huko ulipo?Mrembo umepotea sanaa
Nimekumiss hadi basi
Wee tuishi humumuhumu tyuuuu kila mmoja anasemwa sana humuuu sema japo nahisi mie ndio usiseme kabesaaa 😂😂😁!Selfika nilikuwa naipenda, baada tu ya kusikia maneno mabaya kunihusu, nakajihepusha nayo kistaili
Kwakweli midango Yao Haing'ai nyota nyeusi
Kama sufuria la shughuli wanzunguka pm za watu kuchafua wenzao [emoji3][emoji3][emoji3]
Jamni eeh mjini nyota [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pa hovyo,Mm naichungulia sikuhiz siipendi Kam mwanzo watu wanaroho mbaya sana
Unajua hili swala Ina bidi tuwa alike cia,mossad na kgb.
[emoji117]I'll wathibitishe Kama ni kweli, au ni histrionic personality disorder Ime fika katika kiwango Cha juu[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Unaogopa maneno Madam?Selfika nilikuwa naipenda, baada tu ya kusikia maneno mabaya kunihusu, nakajiepusha nayo kistaili
Taratibu huyo ana histrionic personality disorder [emoji1787][emoji23][emoji16][emoji16]
Nyie Hivi hakuna reaction ya ♥️ na 🤣 ya pamoja??🤣🤣🤣🤣!!Yani watu ambao nyota Zao za kaniki amani hawana yani wanatamani mtu uharibikiwe tu
We nichachue tu, mi niko nakula ugali 🤣😂😂Punguza miwasho nitakuchachua ss hivi, me niko serious hapa
Pole boss wanguNipo mkuu dunia inanipeleka mbio(ubusy) habari ya huko ulipo?
MnywaniiT 1990 ELY samalekooo 👋👋! Nimeona kivuli chakoo mkuuu karibu sana Selfika!!
Wigelekelo Tinsley Rabbitus spidernyoka Kapachino Strawbella Hustler one nawasalimu kwajina la selfika wapendwaaa nimewamiso miee kitrambo sana !
🤣😂😂😂😂, Kunipiga huwezi- kunikamata huwezi 🤣😂😂😂.Wewe bonge nyanya niache huchelewi kususa tunakujua [emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea
Sio bonge matikiti🤣😂😂😂Wewe bonge nyanya niache huchelewi kususa tunakujua [emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea
Popote ulipo kunywa kinywajii bili Kwangu pulllllllliiiiiiiiizzzzz!! ☺️☺️☺️😊!!Unaogopa maneno Madam?
Hata usipochangia mbona utasemwa tu
Maneno yanakutisha?
Binafsi ntaacha kuchangia nikiamua mwenyewe ila si kwa sababu ya maneno ya wapumbavu wachache.
mchuchu miss youYani watu ambao nyota Zao za kaniki amani hawana yani wanatamani mtu uharibikiwe tu
id inaitwaje niambie inaweza kua ya penseli[emoji28]
Histrionic personality disorder 🤣😂😂, una nijua 🤣😂😂Wewe bonge nyanya niache huchelewi kususa tunakujua [emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea
Yaani wote tu Dunia inatupeleka mbio mkuu, kuhusu selfie kweli nilipanga kushare ila baada ya kuona hali ya hewa imechafuka nikatoka speed kuzifungia kabatini😀😀 watu siyo wastaarabuPole boss wangu
Na wewe mwenye taasis zake nyeti yanakupeleka? Acha utani basi😀
Huku kwema kabisa
Nilitamani nikuombe kaselfie sasa naona kuna mndazi ameshachafua hali ya hewa hapa
Ongeza sautiiiii uduguuuuuu unasemaaaa????[emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
Hajui mkuu penseli ana I'd 50 🤣😂😂id inaitwaje niambie inaweza kua ya penseli😅