Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hawamtaki wao wanamtaka Kantri tyuuu ndio anawauma km wamemzaa wao!!!! Wanaume wamejaa kibao hawawaoni mpk babe wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na kasema haniachi wanavyotuma pic ndio wanazidisha kasi ya KUNIPENDA shenzy zenu
Kwakweli midango Yao Haing'ai nyota nyeusi
Kama sufuria la shughuli wanzunguka pm za watu kuchafua wenzao 😀😀😀
Jamni eeh mjini nyota 🤣🤣🤣🤣
 
Wame tuma kweli ??, Au ndo una histrionic personality disorder [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]

Nawe kwenda ushawahi kuniona naongelea issue km hii?? Watu waache tabia za kifala sio vizuri tena kashindwa kusave kajua nitafuta faster likaamua kuscreenshot ili liliwahi kupeleka [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Unajua hili swala Ina bidi tuwa alike cia,mossad na kgb.
👉I'll wathibitishe Kama ni kweli, au ni histrionic personality disorder Ime fika katika kiwango Cha juu😂🤣🤣
 
Back
Top Bottom