Selfika na JF: Snap it. Show it

Sawa shem ila usije sema simu ilikuwa kwangu kivuruge wako akifika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nishafikaaa uduguuu, nambie yoteee, usifichee hata kidogoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu hii chaii, khaaah
 
Uwiiiii..[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Umetokea wapi tena a wewe?
Na huo ulozi wa kingoni nitakoma wallah
Nisamehe sweetheart Cute Wife ndo kaniponza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tulizana, ukifanywa hiyo jojoro isisimamee, ndo akili itakukaa sawaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee unamsemea mwenzio? Uko kwenye moyo wake???

Mume wake anamuuma na kukaa uke wenza hataki!!! Na me kumuachia siwezi nataka nichafue passport kwa kusafiri na babe Jack [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…