YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Mimi nitamjibu short sijakuita uku [emoji23]
Km Kweli vile wakati akianza kurusha mabomu yake faster unaomba amani [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nitamjibu short sijakuita uku [emoji23]
Sasa si atakua kichaa mtoto wa mamamkwe[emoji23]Baki bana mwenzio napenda competition [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukimpa style hii na me nakuja na kali kukuzidi mpk mume achanganyikiwe
Shem kama shem
Mlinzi huchezi mbali [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulinzi umeimarishwaa
Uyo namjua ngumi mkononi ila atushindwanKm Kweli vile wakati akianza kurusha mabomu yake faster unaomba amani [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemshawish mpaka kakubali sasa fanya ujinga akasilike tena
Si alikuwa anakuita uitikiUmemshawishi nini?? Na alikasirika kwa lipi? Mbona me sijui km nilimuuzi?? Emu niambie kwanza
Sasa si atakua kichaa mtoto wa mamamkwe[emoji23]
Acha azipate hapa hapa taarifa😍Bi mkubwa sijui anahofia nini? Kwan hujampa taarifa zangu km me nimekubali yote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uyo namjua ngumi mkononi ila atushindwan
Si alikuwa anakuita uitiki
Acha azipate hapa hapa taarifa[emoji7]
Ahahaha nazima data nakuja kuwasha saa tano najua hasira zitakuwa zimepoaNakwambia kabisa akitokea hunioni nakuachia upambane naye mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio[emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe!!!! Ko alikasirika??
Ahahaha nazima data nakuja kuwasha saa tano najua hasira zitakuwa zimepoa
USI fanye hivyo, Kigoriii😁🤐Kumbe basi ngoja nitoke Jf😬
Ndio
Ndio aache kufatilia mambo ya ex wake😄[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sio vizuri hivo anaweza kudondoka na presha