Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Fanya sasa unachelewa nini nawe?? Au unataka ikomae igome kutoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haigomii, Dr naekuletea ni fundi haswaa.
 
Kichwa yako unaijua mwenyewe wewe hata cute nishamwambiaga nakuogopa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] !!!

Wala sina uzuri hata chembe trust me sifa za selfika ni za kinafiki!
Sie humu tunasifiana hata sifa ambazo hatuna!
That's us wanaselfika na ndio tushazizoea wenyewe tunsishi humohumo kwenye unafiki!
Ongezaaaa sautiiiiiiii!!!
UNAFIKIIIIIIIII, nimeandika kwa herufi kubwa kukaziaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ongezaaaa sautiiiiiiii!!!
UNAFIKIIIIIIIII, nimeandika kwa herufi kubwa kukaziaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!

Nacheka kama mazuri vilee shoss angu!!🤣🤭
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!

Nacheka kama mazuri vilee shoss angu!![emoji1787][emoji2960]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaa kwa password, mpe salamu Bantu Lady muambie nime mmic mnooo.

Kuna siku nilimuambia kitu humu ndani, nadhani atakua kajionea.
 
Back
Top Bottom