YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Mie ndio ulidhani wa kumwekea huyo pichaa??? Thubutruuuuuuu labda aikute tu kwa bahati mbaya!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie ndio ulidhani wa kumwekea huyo pichaa??? Thubutruuuuuuu labda aikute tu kwa bahati mbaya!
Haya bana, sina la kusema.Antonia usiweke katumwa huyu
Antonnia wewe uliweka ili watu waone, hofu ya kutotaka mimi nisione ni ipi? Mm sio mtu nastahili kuona picha yako? Una hofu na maoni nitayotoa? Vipi nikiona upo vizuri?Mie ndio ulidhani wa kumwekea huyo pichaa??? Thubutruuuuuuu labda aikute tu kwa bahati mbaya!
Kichwa yako unaijua mwenyewe wewe hata cute nishamwambiaga nakuogopa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 !!!Antonnia wewe uliweka ili watu waone, hofu ya kutotaka mimi nisione ni ipi? Mm sio mtu nastahili kuona picha yako? Una hofu na maoni nitayotoa? Vipi nikiona upo vizuri?
Anyway yaishe, leo siku nzuri mno kwa ofisi
Ukweli mambo ya selfika yapo kidada dada zaidi, na pia ni mambo ambayo yanayotokana na feelings za mtu kwa muda huo.Safi [emoji736]
Haya Kantri selfika, au nitume ya pamoja?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mxxxieeeeeeeeww! Uselfike umerogwa????
Ewaa so usizingatie sana koments wala sifa unazozikuta humu!Huku inabidi uwe mnafki sana, yaani white useme ni black na black useme ni white.
Sawa nimekuelewa japo umenifanya nitamani zaidi kukuona upoje. Nikiangalia hii hofu uliyonayo na hizo sifa nilizoona huenda kweli kuna unafki humu.Kichwa yako unaijua mwenyewe wewe hata cute nishamwambiaga nakuogopa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] !!!
Wala sina uzuri hata chembe trust me sifa za selfika ni za kinafiki!
Sie humu tunasifiana hata sifa ambazo hatuna!
That's us wanaselfika na ndio tushazizoea wenyewe tunsishi humohumo kwenye unafiki!
Ona unavojichetua as if kweli Hujawahi kuniona sasa hahahaaa!Sawa nimekuelewa japo umenifanya nitamani zaidi kukuona upoje. Nikiangalia hii hofu uliyonayo na hizo sifa nilizoona huenda kweli kuna unafki humu.
But uwe na amani maisha haya tupo watu tofauti tofauti. Muhimu kuvumiliana
I mean no malice to nobody Nuzulati, Antonnia Cute Wife, mshamba_hachekwi 🤒Mxxxieeeeeeeeww! Uselfike umerogwa????
Mmh
Nimekuona wapi? Huku kwenye ukiingia unakuta comments zaidi ya 500. Nitaweza kusoma zote kweli? Pili sipo interested sana na mapicha picha, labda itokee nimekutana nayo tu.Ona unavojichetua as if kweli Hujawahi kuniona sasa hahahaaa!
Nini Sasa🤔🙄
HapanaNini Sasa🤔🙄
Haya weka nione, but nasisitiza usichukie maoni yangu.Countrywide okay Usitoke hapoo nikibless wanaselfika tunaita blessings!!! Nasubiria ujibu kama upo nikibless
Uselfike na wewe😁Hapana
Chaii😁😁Countrywide hii wanaselfika tunaita naked kwerii kwerii!!
That's Antonnia!