Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mrare unonooo wapendwa Kesho nayo siku![emoji42][emoji99][emoji42][emoji99][emoji42][emoji99][emoji99][emoji99][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji99][emoji42]!!

Mbona unawahi we mama kachanga [emoji17][emoji17][emoji17]
 
Ukweli mambo ya selfika yapo kidada dada zaidi, na pia ni mambo ambayo yanayotokana na feelings za mtu kwa muda huo.

Mm hayo si mambo yangu kabisa, huku kwenyewe wewe ndio umenileta. Japo soon ntaacha kuingia huku, naona sio mikato yangu kabisa.

Huku inabidi uwe mnafki sana, yaani white useme ni black na black useme ni white.

Huku una bichwa km la baba ubaya unaambiwa umefanana na Naomi Campbell [emoji2222][emoji2222][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee usithubutu pacha nakujuaaa achaaaaaaa
🤒🤒 Cc Bantu Lady, fundi bishoo, National Anthem, Mzee wa kupambania suprise🤒😁
FB_IMG_16920239925713454.jpg
 
Back
Top Bottom