Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,362
Wacha mwaka wenu na MwachiluwiSemaaa Nita mpigiiiaa tu😂🤣🤣
Wacha mwaka wenu na MwachiluwiSemaaa Nita mpigiiiaa tu😂🤣🤣
Mimi sikujui na wala sijawahi kukuona😅😅😅 twende ndani kwanza baby
Nime achwa bhana😂🤣🤣Wacha mwaka wenu na Mwachiluwi
Shem umeanza mambo yako
😅😅😅😅 baby una mtu humu eehMimi sikujui na wala sijawahi kukuona
Ila huyu dada humjui ila swali zuri shem wako hana gari ya nyeusi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiiii tupuuu uduguuuu.
Watu weuweeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anayo gari nyeusi kubwa sitaki nimseme sana kwa details maana utashangaa sana. Ila ujue aliwapelekaa shekilango kuingia gari before mechi . Jua hilo kadada keupe kembamba . Sasa ukisema kiundani ni mbaya nitaonwa mbeya zaidi ningekuwa nimekuja pm kukuambia kiundaniWatanzania wengi wana gari nyeusi, hiyo hapana lete lingine tuamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shem mimi niko KYAKA KOMBO huku na Tanga wapi na wapi sasa?🤣🤣🤣Shem tulia kumbe unatuchit?? Nasikia kuna viumbe vya kutisha umevipeleka Tanga vikachezee pesa zako [emoji25][emoji25][emoji25] nimeumia kwakeli, viuno vyote vile mdogo angu anavyokupa bado huridhiki???
Nasemaje hao nyau nisiwajue, nanunua kesi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Achana na binti maua bana atakua anamaanisha mtu mwingine nadhani atakua mshamba_hachekwi ndiye anayemzungumzia hapaMjep njoo huku umemsikia Maua? Kumbe kuna outings unatoa milupo afu unasema pesa huna?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anayo gari nyeusi kubwa sitaki nimseme sana kwa details maana utashangaa sana. Ila ujue aliwapelekaa shekilango kuingia gari before mechi . Jua hilo kadada keupe kembamba . Sasa ukisema kiundani ni mbaya nitaonwa mbeya zaidi ningekuwa nimekuja pm kukuambia kiundani
Shem mimi niko KYAKA KOMBO huku na Tanga wapi na wapi sasa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huo ni uzishi uliopitiliza achana nao
Nita uliwaa😂🤣🤣🤣,Tafuta mdogo wake ex wako muendeleze mahusiano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Achana na binti maua bana atakua anamaanisha mtu mwingine nadhani atakua mshamba_hachekwi ndiye anayemzungumzia hapa
Mimi niko huku leo shem
Achana na huo uzishi kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]