Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tunashindana na Simba kufunga mabao kama ya penati vile[emoji1787][emoji1787]

Na mfunge ukazie hasira, inakuwa km unaifunga Simba kwa mchezo wa marudiano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shem maneno magumu hayo
Ushatupia vitu wewe[emoji16]

Shem vitu bado sijarecover vzr, dr kanikataza mimba inaweza kutoka hapa hata simu naforce kushika, huoni Kantri anavyonichunga leo!!! Anaogopa mtoto wake asije kutoka bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu inaweza kuwa kweli, tatizo mie ndo mama mjengo, funguo na file za maisha ya shem wako ziko kwangu.

Watasubiri sanaa, wavute mikeka wakae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shem vitu bado sijarecover vzr, dr kanikataza mimba inaweza kutoka hapa hata simu naforce kushika, huoni Kantri anavyonichunga leo!!! Anaogopa mtoto wake asije kutoka bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu na vibendi vyao mjiniii.
 
Haswaaaaa!!! Watandike jamvi walaleee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hatuachiki leo wala kesho
Afu wanaume wenyewe sasa wanavyowakana hadharani me ndo nnapochokaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenyweshwa chai tena imepoa mwali wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo details unazotoa zote za uongo, Shem hayupo Dar achilia hiyo shekilango [emoji23][emoji23][emoji23]

Hao wamekulisha ndaza, waambie wakupe umbea wa kweli!! Ungeniambia wamehongwa vocha za jero jero mwali wangu nisingekataa hata kidogooooo!!! Kwa hili NIMEKATAA
Ila sijasema anaishi dar mie ila tuache hayo ipo siku nutakuambia vizuri
 
Kumbe uongo udugu kaendelee kuulilia tyuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi nikajua exclusive kumbe wadangaji wa vocha wamemjaza maua maneno tupu

Katombeke mdogo angu wasikukaushe uzazi
Ngoja na mie nikamchungulie mzee wa Yanga leo ana hasira wamefungwa sijui km nitapewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Swali nipo serious tuache utanj kuna mtu anaweza kumkausha mtu kizazi ?? Msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom