National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
😜😜😜..Nipe hela nikufichie siri
😜😜😜..Nipe hela nikufichie siri
Raha ni matunzo sio kutangazwa halafu unaachwa na njaa . Nisikilize mie mbona mie nimekusikiliza uliponitonya nisikie na mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sisi kuibiwa bado sana, kwanza wanaume wenyewe wanawaficha km bhangi!!
Raha ya mume akutangaze hadharani, sio kufichwa fichwa km vuzi la mk****nd
Umeniheshimisha .
Tenaa mpe salamuuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama mwenye nyumba hana wasi wasi, baba atazungukaa kutwaa nzimaa, usiku atarudi ndanii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cheti cha ndoa ninachoo, kinaswampaa tyuuh kabatini.
😒😂😂😂 ana hali mbaya muonee hurumaYes , nasema ukweli ila mtoto mzuri aisee kawaka huyo manager amemnunulia gari fulani majuzi tu na bado mwenzako akaitwa na mwanadada hao kwake wakapiga za kwao hadi asubuhi kaachwa kwa demu hadi alipoamka ndio manaa siku hizi mbili alikuwa hayupo alikuwa anatafuna kitumbua toto gugu hajakuambia
Raha ni matunzo sio kutangazwa halafu unaachwa na njaa . Nisikilize mie mbona mie nimekusikiliza uliponitonya nisikie na mie
Kwakipi sasa mkuuSemaaa ata jutaaa😂🤣🤣
Shem umeanza mambo yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sisi kuibiwa bado sana, kwanza wanaume wenyewe wanawaficha km bhangi!!
Raha ya mume akutangaze hadharani, sio kufichwa fichwa km vuzi la mk****nd
Hujamaliza ule mchongoo tukiacha matanihawaaa wazee mlale unono na wapenzi wenu.. baby Unique Flower twende tukalale basi 😊😊
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa, unatolewa out kwa siri na unatambaaa?? Km kwelii wee ni mjanja weka wazi umma ujue.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sisi kuibiwa bado sana, kwanza wanaume wenyewe wanawaficha km bhangi!!
Raha ya mume akutangaze hadharani, sio kufichwa fichwa km vuzi la mk****nd
Say hi to your spouse, na tegemea another twins 🤗🤒hawaaa wazee mlale unono na wapenzi wenu.. baby Unique Flower twende tukalale basi 😊😊
Sio huyo best nani kasema huyo mie akikuacha na mpa vidonge nanina mfungia ndani nakupa ufunguoHaya nakusikiliza ila me kuibiwa baaaadooo sana, labda Kantri nimchoke mwenyewe niwatupie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😅😅😅 kesho mchana nitakuwa kwenye good moodHujamaliza ule mchongoo tukiacha matani
Eti jidanganye soon utaona ukweli upiSay hi to your spouse, na tegemea another twins 🤗🤒
SI namkazia na Mimi, aendee tu🤣😂😂Kwakipi sasa mkuu