Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
mekuhamu wewe, happy sunday na mwanzo wa mwisho wa 2019...
may Lord God bless us all, penda wewe![]()





Hapana, ni siku ya kwanza ya mwezi Disemba.
Hahaha....nina dikshenari ya majibu ujue...hakuna swali litakosa jibuNimetamani kuuliza swali ila![]()
Mie trh 23.
Ataona mwenye ako na ujumbe huo mkwe...
Unaongea na kivuli?

Wana death wish.Hawa wanao wish happy hiv day sijui wanataka nn
Poa mkuu mm nitadondoka huko tar 21
Nimeghairi.Hahaha....nina dikshenari ya majibu ujue...hakuna swali litakosa jibu
Mkuu hongera umenunua viatu vipya
Nitakuwa huko.23 unaenda wap wakati huko ndio mambo yanaanza...
Nitakuwa huko.
Wacha we!Safiii...hayo ndio maneno
Wewe si "To" uzi wa cute love ndio umefanya ubadili I'd 😁😁😁Nimebadilimkuu, baada ya kuona umekataa mahari
Nairobi kwa wajaluo mkuuWapi hapa....
Huwa sina tabia ya kudanganya, sema labda nilisahau...Halafu ulinidanganya ujue?
Ni wa huko kabisaa, Sijui kotela kuna siku tulikaa na yeye hapoVipi mkuu mbona unamtag huyu legendary nae wa huko huko nn?
Same same!Happy new month, and happy first Sunday, God bless the new month for us, may we live to see the end of this month, and may God favour and prosper us in this new month, amen, CONGRATULATIONS