Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Sinywagi supu
Ushashiba supu eeh?
Ushashiba supu eeh?
Pole kwa kazi mama.
Sinywagi supu
Okey.Kazi gani??
Dadake walimwengu hawakosi lawama nikituma za uwongo wanasema hii umeigoogle nikituma za ukweli wanasema hii si wewe 😁😁😁[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mmhh mimi namuunga mkono na mguu troublemaker kwa kweli wewe ni kasumbufu sana kutuma picha zako
Hata wew kakaKomwe kiwango cha lami
Ok mkuuIle uliyosimama sio
Ngoja niifute maana walimwengu mshaanza kukosoa umbaji wa Mungu
Dadake walimwengu hawakosi lawama nikituma za uwongo wanasema hii umeigoogle nikituma za ukweli wanasema hii si wewe [emoji16][emoji16][emoji16]
Okey.
za mwizi 40Na wanasema akiwa anatumia dawa eti vipimo vinaonyesha (-) walah kama ni hivyo twafwaaaa[emoji134][emoji134][emoji134]
Nawewe pia.Ukuwe na jumapili njema
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]za mwizi 40
DealKaribu sana kaka ukiwa tayari niambie
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Sifanyi tenaaaaaaa.[emoji85]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] ndiyo vinini hivyo
Mie mbona hamnialiki[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Karibu sana kaka ukiwa tayari niambie