Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,314
Maybe Nikiwa na nafasi,Nichek ijumà twende place
Maybe Nikiwa na nafasi,Nichek ijumà twende place
toto unataka kulia weweweka tuone babyface
Mbona hujapita sasaCute Wife where are you bby girl achana na mshamba_hachekwi Mjep boss mmoja hapa jf napita kama ifwatavyo
😂😂😂😂 nilisau ujueMbona hujapita sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umelala? Au badooo?Umeona eh!!! Leo Yanga Hekaheka miambiliiii kidogoo!!! Tunasubiria muda kwahamuuu tuchukue ushindi wetruuui!![emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169]
Teseka taratibuuuu uduguuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi Yanga alipo babe na me nipo [emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji169][emoji172][emoji169]
Mnyama leo anakufa mapema [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawaonea hurumaa, kwa kweli.Tunachinja makolo
Watu wa Masjala tumejirisha 😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee kwa kutesekaaa,Kuna cocastic, Kuna penseli na Kuna huyo bichwa komwe. Ni huzuni tu kwa kweli
Alafu wote ni marafiki sana. Acha tu
Huyo mumeo hana mpyaa kwangu, nilimsuuza hadi akawa analia kwa modes, niondewe JF mazimaaa.Cocastic usimsingizie aliyeniharibu mpk nikawa hivi ni wewe!!! Nilikuwa binti mpole na comment vitu vzr vya kistaarabu mwenyewe.
Ukaja wewe ulikotoka ukaanza kuniponda mshamba shahidi, ukaweka muendelezo kila post yako unanikandia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikaona huu ujinga nikaanza na me kukera nikacheck kulia nikamkuta cocastic naye mnacharuana nikaunga ikawa sisi na wewe…
Ugomvi ukahama ukaanza mtongozo [emoji23][emoji23][emoji23]
Tukaungana tukawa wapenzi na cocastic ugomvi wenu tukaumaliza, lkn wewe unaonekana ushazoea hekaheka!!! Ss hivi umenipa umeanza jeuri nitaitoa na cocastic nitamwabia anichagulie dr mzuri wa kutoa shauri yako!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nimechekaas hadi machoziii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Si wa kwake na matumizi yake
Umenikumbusha kuna mtu tulikuwa tunabishana alivyoona nimemshinda akaamua kuniambia ndiomana unaliwa na DC [emoji23][emoji23][emoji23]
Nikamjibu, ndio kanila we kinakuuma nini? Akasema kumbe mwana kapiga kweli?? Nikamwambia NDIO tena kote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Likabaki linacheka eti bas alifaidi, humu ukiwa na stress utakufa kuna kila aina ya watu
Nasura mbaya kama mkate wa kijiji mie sijaona yakoSekfika maua hatujawahi kukuona emu selfika shosti [emoji12]
Ahahhahah mmesha fanya kazi yenu sio mm😂😂Watu wa Masjala tumejirisha 😀
HB la uhakika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuu unaniombeaa jersey, au unaninangaaa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shem nawe unamsikiliza Kantri??? Nia yake usinipe vocha hana lolote, me nipo hapa nafaa kabisa kuwa h/girl wako, mwambie yeye atatulia na kuweka mguu juu me namfanyia kila kitu!!! Yeye kazi yake kukupa viuno vya kingoni
Afu nimekumbuka ujue mkeo hana jersey ya Simba lkn ana mdomo mrefu kuwaponda Yanga [emoji23][emoji23][emoji23] fanya umnunulie