MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,703
- 71,039
Haipo hiyo....!Ngoja nilete screenshot uone warembo wa jf walivyo na shombo
Haipo hiyo....!Ngoja nilete screenshot uone warembo wa jf walivyo na shombo
Ni ukweli mkuu, IAM a brand ambassador of nyetox.nimedanganya basi
Mwone naushamba wako ulivuta bangi ukaanza kucheka ukaonyesha mali ukaanza kusema nasikia joto ukavua nguo zote ukaanza kimbia kila mahali,kuna mahali kama kichaka ukaingia kumbe ni nyumba yA kichaa maana ulikuja kwa kishindo akamka aisee alikukimbiza mpaka pale ulipovutia bangi 🤣😊😂😂nimedanganya basi
Chai🤣😂🏃nimekuambia useme hivi kwenye simu nikuskie🤣
Njibu wewe mduduChai🤣😂🏃
Dogo una some technique 😂🤣anajikuta mwamba aje kwenye telephone😂
Hali ipoje hukoGame la Leo kali Liverpool nahama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuselfike chiefMjep tuselfike mkuu jion tuangalie mechi uku tunakula popcorn 🍿
Yanga ikishinda naselfika hapa mzee naked kabisaTuselfike chief
Shem kama shem[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maake kwanza ncheke, mimi huyu huyu cute au unamsema jirani yangu???
Me mmbea wa jf sina lolote nipo kusubiri vocha za boss kubwa Mjep
Jamani hakuna anayehitaji h/girl nipige deiwaka nipate bundle la kuzurula jf kula ubuyu
Nasubiri sitoki hapaYanga ikishinda naselfika hapa mzee naked kabisa
Usitoke ase subiri hapo hapoo ila ondoa watu wa masijala mapemaNasubiri sitoki hapa
Umekataa kunitumia gumba 😬😬
Shem kama shem
Natafuta House girl naamini utanifaa
Ila ibaki tu kwamba wewe ni bonge la hustler
Mungu akubariki zaidi na biashara zako zishamiri zaidi unatupiga gepu kubwa sasa sisi waajiriwa
Yanga ikishinda naselfika hapa mzee naked kabisa
Aje mtu anielezee offside ni nn yaani nmepaniki kuambiwa lile sio goli [emoji58][emoji58]