Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,315
Leo tuna kupasua Safi😂🤣🤣🤒Weee sheeeeendwaaaaaa!!
Treinnnaah shindwaaa na utreketreeee💛💚💪💪💪💪🕺!
Leo tuna kupasua Safi😂🤣🤣🤒Weee sheeeeendwaaaaaa!!
Treinnnaah shindwaaa na utreketreeee💛💚💪💪💪💪🕺!
Ahahaha aya tuma locationDuka gani hilo halifanyi delivery, ?
Nazipenda sana ase niletee hapo umekosa maziwa 😋😋😋
Nina chai ya tangawiz nying pembeni acha tu alaf kunamtu anatak ajiue kisa mapenz 😀😀Nazipenda sana ase niletee hapo umekosa maziwa 😋😋😋
Afe tu dunian kuna vitu vizuri sana kuliko mapenziNina chai ya tangawiz nying pembeni acha tu alaf kunamtu anatak ajiue kisa mapenz 😀😀
Si ndo hapo 😀😀😀Afe tu dunian kuna vitu vizuri sana kuliko mapenzi
Pika nije kula ase na njaa sana leoSi ndo hapo 😀😀😀
Sawa usijaliPika nije kula ase na njaa sana leo
Nipo Masasi Mtwara!Ahahaha aya tuma location
Mxxxieeeeeeeeww!!Leo tuna kupasua Safi😂🤣🤣🤒
Mie mwananchiiii na leo tunampiga mtu tatu za kutoshaaa
Wewe sipo nayePole mwaya, Ila usikate tamaa Endelea kupambana.
Kwani Unique Flower mliishia wapi🤣
Nilivaa ili Nile pilau shogaangu cha kupewa unakataajeSasa ile jezi ya simba day itakuwaje shogare
Inakufikia na mining nice hapo ya mchanaNipo Masasi Mtwara!
Ahaha pilipili imekolea