Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna muda huwa nawaza sana hawa rafiki wa cute wife, Kuna mmoja anasema kabisa anataka kwenda kununua dildo. Dunia imeisha hii

Mbona hadi wake za watu wanatumia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cocastic usimsingizie aliyeniharibu mpk nikawa hivi ni wewe!!! Nilikuwa binti mpole na comment vitu vzr vya kistaarabu mwenyewe.
Ukaja wewe ulikotoka ukaanza kuniponda mshamba shahidi, ukaweka muendelezo kila post yako unanikandia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nikaona huu ujinga nikaanza na me kukera nikacheck kulia nikamkuta cocastic naye mnacharuana nikaunga ikawa sisi na wewe…
Ugomvi ukahama ukaanza mtongozo [emoji23][emoji23][emoji23]

Tukaungana tukawa wapenzi na cocastic ugomvi wenu tukaumaliza, lkn wewe unaonekana ushazoea hekaheka!!! Ss hivi umenipa umeanza jeuri nitaitoa na cocastic nitamwabia anichagulie dr mzuri wa kutoa shauri yako!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Utani upo, lakini kweli hata kama ni utani mwanaume anaweza kweli kusema anatamani kuliwa nyuma?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Si wa kwake na matumizi yake

Umenikumbusha kuna mtu tulikuwa tunabishana alivyoona nimemshinda akaamua kuniambia ndiomana unaliwa na DC [emoji23][emoji23][emoji23]
Nikamjibu, ndio kanila we kinakuuma nini? Akasema kumbe mwana kapiga kweli?? Nikamwambia NDIO tena kote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Likabaki linacheka eti bas alifaidi, humu ukiwa na stress utakufa kuna kila aina ya watu
 
Mmmh zile business unazofanya kuna waajiriwa wengi sana hawawezi fika hata robo.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maake kwanza ncheke, mimi huyu huyu cute au unamsema jirani yangu???

Me mmbea wa jf sina lolote nipo kusubiri vocha za boss kubwa Mjep
Jamani hakuna anayehitaji h/girl nipige deiwaka nipate bundle la kuzurula jf kula ubuyu
 
Assssssaaaaannnnntttrreeeeeehhhhh[emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji169][emoji172][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]!

Selfie iko wapi udugu ya mwananchi?? [emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maake kwanza ncheke, mimi huyu huyu cute au unamsema jirani yangu???

Me mmbea wa jf sina lolote nipo kusubiri vocha za boss kubwa Mjep
Jamani hakuna anayehitaji h/girl nipige deiwaka nipate bundle la kuzurula jf kula ubuyu
Napenda sana wanawake hustlers, upo vizuri. Ni wanawake wachache sana wanaoweza kusimama wenyewe na wakafika hiyo level [emoji123]
 
Back
Top Bottom