Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,362
Sura kama kitenge cha mchawi, unasauti kama mwizi, meno yako ni vipisi vipisi kama vipisi vya sigaraEnhee naenda kukusema kwa binti Maua Unique Flower Eti ana mdomo Kama diaba😃😂🙃
Sura kama kitenge cha mchawi, unasauti kama mwizi, meno yako ni vipisi vipisi kama vipisi vya sigaraEnhee naenda kukusema kwa binti Maua Unique Flower Eti ana mdomo Kama diaba😃😂🙃
Vaa vasi jersey ya wananchi jamni nione kifua hichoMimi Yanga alipo babe na me nipo [emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji169][emoji172][emoji169]
Mnyama leo anakufa mapema [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Vaa vasi jersey ya wananchi jamni nione kifua hicho
Sura kama kitenge cha mchawi, unasauti kama mwizi, meno yako ni vipisi vipisi kama vipisi vya sigara
Nilivaa ili Nile pilau shogaangu cha kupewa unakataaje
Amenianza muda nimevumilia siwezi kumbe hujajua umbeya wasasa sikuambii maana huniambi yakwako ila kuna mtu yupo high class kwa sasa mudada wake ni muja muzito . Nimeambiwa nikae kimya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmeanza
Amenianza muda nimevumilia siwezi kumbe hujajua umbeya wasasa sikuambii maana huniambi yakwako ila kuna mtu yupo high class kwa sasa mudada wake ni muja muzito . Nimeambiwa nikae kimya
Ewaaa hapa naona muda hauendiKo tuko pamoja leo? Oyoooooooo! [emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji169]
Poa poa Mwaisa!Inakufikia na mining nice hapo ya mchana
Weeknd leo waØŸPoa poa Mwaisa!
Kabisa naonamkombozi wa majobless😂
Shost huu umbea tupe basi kwa codeAmenianza muda nimevumilia siwezi kumbe hujajua umbeya wasasa sikuambii maana huniambi yakwako ila kuna mtu yupo high class kwa sasa mudada wake ni muja muzito . Nimeambiwa nikae kimya
Tunachinja makoloBantu Lady Saint Anne Beeb reoo ni reoooooo tunauaa mtuuuuu 💚💚💚💛💪💪💪💪!!
( Kwa sauti ya kanda maalum😊)
Kam kauwaaaaa! 💪💪💪🕺💚💛Tunachinja makolo
Assssssaaaaannnnntttrreeeeeehhhhh🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺💛💚💪💪💪💪!Mimi Yanga alipo babe na me nipo [emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji169][emoji172][emoji169]
Mnyama leo anakufa mapema [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Na mkuu wa majobless ndo Mimi 🤒😂🤣mkombozi wa majobless😂
Ngoja mka fanyiwe masacre, utopolo nyie😂🤣🤣🤒🙃Assssssaaaaannnnntttrreeeeeehhhhh🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺💛💚💪💪💪💪!
Dada una kihere here Kama mke wa balozi🤣😂🤣😂Sura kama kitenge cha mchawi, unasauti kama mwizi, meno yako ni vipisi vipisi kama vipisi vya sigara