Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,362
Intelligent businessman njoo nikuambie kitu kizuri sura kama feni ya mtumishi almashauri, umekomaa kama godoro la tanfoam , unasura mbaya kama kibakuli cha chuma .
aisee kumbe nilichelewa kidogo tu
Nime kukosea nini binti Maua 🤒Intelligent businessman njoo nikuambie kitu kizuri sura kama feni ya mtumishi almashauri, umekomaa kama godoro la tanfoam , unasura mbaya kama kibakuli cha chuma .
Fanya iwe case study kwako, Kuna Aina nyingi za research.ushahidi huna
Dah maumivu tu, nime pigwa kibuti dah.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Usinambie sa itakuwaje?? Lini umeachika pacha una siri??
Napenda sana wanawake hustlers, upo vizuri. Ni wanawake wachache sana wanaoweza kusimama wenyewe na wakafika hiyo level [emoji123]
Dah maumivu tu, nime pigwa kibuti dah.
[emoji117]Ila punguza umbea[emoji1787][emoji23]
Nakupenda best yangu ila sura mbaya kama maziwa ya mgando , umekomaa kama grili za taifa za umemeNime kukosea nini binti Maua 🤒
ningewahi ungenikubali?[emoji28]
Nazungumza nikiwa serious na kumotivate wengine, wewe unaweka utani.Wewe naona unapanga humu nisisaidiwe niteseke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Emu nipe pesa ya mtaji wa vijora nizungushe na nilivyo mmbea lazima nipate wateja wambea wenzangu [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Mwanaume umtengeneze wewe sasa utakavyo lasivyo utakaa sanaUna pesa?
Fame?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Nakupenda best yangu ila sura mbaya kama maziwa ya mgando , umekomaa kama grili za taifa za umeme
Hausahau[emoji1787][emoji1787]Una pesa?
Fame?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
We jamaaa ni mpuuzi🤣😂😂una shepu mbaya kama kitunguu maji
Nazungumza nikiwa serious na kumotivate wengine, wewe unaweka utani.
Uliza haoo, mbona iko wazi toka siku Ile🤣😂😂🤣Labda mniue [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Ko ss hivi pacha km konde boy [emoji23][emoji23][emoji23]
Hatudai vitu vyetu tukafate au una dalili za kurudi??
Mwanaume umtengeneze wewe sasa utakavyo lasivyo utakaa sana
au basi tu[emoji23] kila kitu hela
Asa mie sitanianagi nawewe ila kama unataka unapua mbaya kama pilipili za mchawi, unakitambi kama cha kipepe, mweusi kama umepigwa shoti ya umeme , mshamba hadi unapigia mswaki omo, unatumia air fresher kama deodorant, siku ya kwanza kutumia choo ulipofulashi ukapungia uchafu ulionao nakusema bye ukakimbia, tv ulivyojifunza kuwasha kila mtu unampungia nakumjibu mpaka taarifa ya habari , unajipaka mafuta aina yablue band unadhani ndio lotion yakiume , ukiwa barabarani unataka kuvuka unaenda unarudi unaenda unarudi mpaka trafic alikupiga mabao akakuvusha barabara . Unakula cowbell ukizani ni freshner ya mdomo , sura yako imekunjamana kama koti la babu mzee.una shepu mbaya kama kitunguu maji
Hausahau[emoji1787][emoji1787]