YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Uliza haoo, mbona iko wazi toka siku Ile[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kumbeee nshajuaaaaa
Uliza haoo, mbona iko wazi toka siku Ile[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]
Hata naumbeya wa best yako ila sikuambiiHivi maua kwann unaniringia na huo ubuyu wako? Mpk mimba yangu itoke ndo ufurahi?
Emu lete hiyo habari ya aliyepigwa mimba na huyo jamaa ake nakusubiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kunifanya mmbea niteseke bas shosti
Asa mie sitanianagi nawewe ila kama unataka unapua mbaya kama pilipili za mchawi, unakitambi kama cha kipepe, mweusi kama umepigwa shoti ya umeme , mshamba hadi unapigia mswaki omo, unatumia air fresher kama deodorant, siku ya kwanza kutumia choo ulipofulashi ukapungia uchafu ulionao nakusema bye ukakimbia, tv ulivyojifunza kuwasha kila mtu unampungia nakumjibu mpaka taarifa ya habari , unajipaka mafuta aina yablue band unadhani ndio lotion yakiume , ukiwa barabarani unataka kuvuka unaenda unarudi unaenda unarudi mpaka trafic alikupiga mabao akakuvusha barabara . Unakula cowbell ukizani ni freshner ya mdomo , sura yako imekunjamana kama koti la babu mzee.
Kumbe hunipendi🤒Hata naumbeya wa best yako ila sikuambii
Hata naumbeya wa best yako ila sikuambii
Best diss track to mshamba_hachekwi 🤣😂🤣😂Asa mie sitanianagi nawewe ila kama unataka unapua mbaya kama pilipili za mchawi, unakitambi kama cha kipepe, mweusi kama umepigwa shoti ya umeme , mshamba hadi unapigia mswaki omo, unatumia air fresher kama deodorant, siku ya kwanza kutumia choo ulipofulashi ukapungia uchafu ulionao nakusema bye ukakimbia, tv ulivyojifunza kuwasha kila mtu unampungia nakumjibu mpaka taarifa ya habari , unajipaka mafuta aina yablue band unadhani ndio lotion yakiume , ukiwa barabarani unataka kuvuka unaenda unarudi unaenda unarudi mpaka trafic alikupiga mabao akakuvusha barabara . Unakula cowbell ukizani ni freshner ya mdomo , sura yako imekunjamana kama koti la babu mzee.
Mume wake atampa talaka hakafu anilaumuWeee sema kweli?? Best yangu yupi kwanza?? Maana wapo wengi humu jf, hapa ushanichanganya sijui ni yupi?!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha umbeya wewe mtoto ongea kiswahili vizuri tukuelewe na ulichosemaBest diss track to mshamba_hachekwi 🤣😂🤣😂
Nime achwa🤣😂🤣, Cute Wife haamini😂🤣😂Acha umbeya wewe mtoto ongea kiswahili vizuri tukuelewe na ulichosema
Mume wake atampa talaka hakafu anilaumu
Wewe ni mshamba mpaka ulivyoambiwa fanta orange hatuna hapa ukaanza kulia kama mtoto, unakumbuka juzi ulinunua condom ukizani ni puto, wewe mshamba ulinunua bia ukizani pepsi ulivyokunywa ukalewa ukaanza kulia mwenyewe sindo ukapanda lile gari la wasanii ukaenda nao katavi ukaachwa mbugani eti nimeenda kusalimia nduguzangu isingekuwa tanapa saivi ungekuwa imeenda hiyouna sura mbaya kama ukuta
Shida sio mdomo wangu, ni ........🤒Na mdomo wako nilijua utaachika tyuu!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Da maua Ana kisirani tangu juziHivi maua kwann unaniringia na huo ubuyu wako? Mpk mimba yangu itoke ndo ufurahi?
Emu lete hiyo habari ya aliyepigwa mimba na huyo jamaa ake nakusubiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kunifanya mmbea niteseke bas shosti
Shida sio mdomo wangu, ni ........[emoji855]
Da maua Ana kisirani tangu juzi
Au Ana mimbaaaa [emoji38]
Jamani mbona Sija wahi mtamkia mtu jf?????Ubahili huku unataka kipochi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wewe unasura mbaya hadi watoto wakikuona wanacheka hadi wanazimia wakiulizwa nini mama huyu kama anachekesha utadhani kama kibwengo kichwa kama nanasi , mfupi kama kama funzawewe ni mweusi mpaka ukimbeba mtoto analala
Unique Flower USI jaribu, kijana Ni pipe gang🤒🤣😂🤣😂nataka uniambie hivi kwenye simu nisikie🤣