Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Back to the basics.
Kuna mtu ashakunywa Windhoek zangu 5! Namcheki tu nasema hiiii [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu ashakunywa Windhoek zangu 5! Namcheki tu nasema hiiii [emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha life aint fair....beast kanywa 20,000/- tu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 5x 6000 = 30,000 position ya mshale wa beast [emoji23]
Hahaha...
Hebu fanya kama vile ulinunua halafu bahati mbaya meza ikatikisika chupa zikaanguka na kupasuka...
Try Malibu with some fresh milk [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji85][emoji23]
Ha ha ha life aint fair....beast kanywa 20,000/- tu....
Ninae hapa mkuu. Kichwa kaweka kifuani.Jamani members,ni muda sasa sijamuona Shunie. Wangu,mwenye taarifa zake anipe jamani
Imebidi nizime flash😂😂Unamwonea sana beast imagine baadae kama mambo yataenda Sawa atatakiwa ku ferry mtia hasara hadi anapoishi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Imebidi nizime flash[emoji23][emoji23]
View attachment 1277719
Hajaingia online muda sanamfuate PM
Mkuu[emoji23]Ninae hapa mkuu. Kichwa kaweka kifuani.
Hajaingia online muda sana
Mwanza sehemu gani hii?View attachment 1272396
[emoji125]
Kuna mtu ashakunywa Windhoek zangu 5! Namcheki tu nasema hiiii [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu[emoji23]
Kwanza kabisa umenikumbusha headmaster wangu wa o level alikua mkenya,
Alimwambia jamaa mmoja "acha kuleta kazi kwenye utani,"
Badala ya utani kwenye kazi