Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

6A128552-0A5A-449E-AB72-0B08A548D076.jpeg
 
Udugu wananichosha hawa tyuu!! Mimi niache kufanya vitu vya maana nianze kumchunga CW kweli? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wao waniite akiwa anataka kunicheat nije nimzodoe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu kisukarii kimeanza lini??
Mbna ghaflaa sanaaa.
 
Wakorofi, wajuaji, wabishi, wasumbufu, wanapenda hovyo, hawataki skirt iwapite, wavuvi haramu, kila kyupi wanataka waivue, wapiga nyeto wakubwa, watumiaji wakubwa wa drugs, hawatulii na mpenzi mmoja, wanaongoza kwa kusalitiwa, waongo….nk

NB: Kati ya yote hayo CW hausiki [emoji2222][emoji2222][emoji23][emoji23][emoji23]
Wengi wapo hivyo kweli, wala hujakosea. But tupo wachache ambao hatupo hivyo
 
Back
Top Bottom