Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Unazuga uko kwenye usingizi mzito unamuacha baba yake na yeye iwe zamu kubembeleza.πππππ
Usiku sasa kukesha
πππππππ π!!
Unazuga uko kwenye usingizi mzito unamuacha baba yake na yeye iwe zamu kubembeleza.πππππ
Usiku sasa kukesha
πππππππ π!!
Huu ukweli, hata nilikua sijui kama kuna selfika na sikuwa interested na hayo makitu.Achana nayo, tufikirie mambo ya msingi afu huku selfika nitakutoa maana me ndo nilikuleta
Umetutusi sana broHuu ukweli, hata nilikua sijui kama kuna selfika na sikuwa interested na hayo makitu.
Ulinivuta huku wewe, japo naona kumejaa villagers and teenagers. ukiona mtu vitu anajisifia navyo unabaki na mshangao tu
Hilo neno wote limetumika vibaya. Haiwezekani kwenye taasisi watu wote wakawa na tabia moja.Tatizo CCM wote wezi [emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ukweli, hata nilikua sijui kama kuna selfika na sikuwa interested na hayo makitu.
Ulinivuta huku wewe, japo naona kumejaa villagers and teenagers. ukiona mtu vitu anajisifia navyo unabaki na mshangao tu
Umetutusi sana bro
Shem leo kazingua ase[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shem km shem
Kuna muda kweli nakua nimechoka namuomba anisaidie !Unazuga uko kwenye usingizi mzito unamuacha baba yake na yeye iwe zamu kubembeleza.
Usipanic, hakuna tusi. Villager ni sifa, ni kama unavyoona mtu anasema mm ni gangster,Umetutusi sana bro
Shem leo kazingua ase
Villagers teenagers na wazee tunaozeeka vibaya!!Huu ukweli, hata nilikua sijui kama kuna selfika na sikuwa interested na hayo makitu.
Ulinivuta huku wewe, japo naona kumejaa villagers and teenagers. ukiona mtu vitu anajisifia navyo unabaki na mshangao tu
Rudini chapNdiomana nataka nimtoe huku turudi zetu Jukwaa la siasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
shem ngoja nikubali tuUsipanic, hakuna tusi. Villager ni sifa, ni kama unavyoona mtu anasema mm ni gangster,
Teenager ni hali. mfano mtu akisema nimetumia hali ya kiutuzima, anakua ametukana?
Usipanic, hakuna tusi. Villager ni sifa, ni kama unavyoona mtu anasema mm ni gangster,
Teenager ni hali. mfano mtu akisema nimetumia hali ya kiutuzima, anakua ametukana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Villagers teenagers na wazee tunaozeeka vibaya!!
Muwe na weekend njema wapendwaaa enjoy your evening & Night!![emoji3577]
Hivi simu yako ina full chaji?
Okay, nikki wa pili LGBT kwa hiyo sasa kwa akili zako mwenyewe umeamua kujituma na kutukana kila aina ya tusi. Basi tupo tayari kupambana nawe
tukutane baadae
πππππππ.