Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,221
- 183,074
Mniwacheee na godauni languuu la kotaz kwaniii nina furaha kama zotreeee sikuhizi!!๐บ๐บ๐บ๐ค !!53 hiyo kwio
Kweli nyumba tutajenga 2033.
Acha tujizeeke kotazi ๐๐๐๐.
Mayai matamu lakini kwenye chips๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ ๐ ๐ ๐
Aahh nimetulia Zangu kotaz silipii Kodi wala sishtukii hataa na wala sijareeeee wala nenee ๐ค ๐ค ๐ค ๐๐!! !