Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Niitie na Mjukuu wako Missy Gf na Cute Wife babuu mtrotro mzuree kamama mamake 🤭🤭🤭! Wajua Mjukuu wako sitoagi bokooo babu she's so beautiful


Salamu Zimefikaa babuuuu Saivi yupoo amerudi rasmi!!
Likizo tutakuja wote kuwaona na bibi
Kumbe Mkwe amesharudi Sudan? Tafadhali mwambie Babu yenu nasubiri zawadi yangu ya Kiko alizonihaidi kuniletea 🤪

Babu yenu nina shauku ya kuwaona wewe na Mjukuu wangu kichanga
 
Uliza tu shemelaaa! Uliza saivi soon nitakua bize
Hapo juu penseli lgbt nimeona anasema wewe ndio unamtuma kutukana, hatukani mtu tu bali hadi wazazi wa huyo mtu.

Ni kweli unamtuma? Ni nani kwako?
Unaonanaje haya matusi mazito anayoporomosha akisema wewe ndio unamtuma?

Uwezo wa kumkabili mpaka mwisho upo, hofu isije ikawa nakukwaza huko maana nakua kama na-abort your mission(Kama kweli umemtuma)
 
Unavyopenda maswali 2025 uende mjengoni ukawa changamshe kina msukuma na maswali wanakula kodi zetu bure
Nitaenda kumkabili lema arusha mjini. Mtu atoke ukimbizini huko alipokua anaishi bure aje kusumbua watu huku walio busy na maendeleo
 
Nitaenda kumkabili lema arusha mjini. Mtu atoke ukimbizini huko alipokua anaishi bure aje kusumbua watu huku walio busy na maendeleo

Ninavyopenda amsha amsha lile la kampeni sasa!!!! Mimi nitakuwa campaign manager wako babe nina uzoefu huo na jimbo tunalichukua saa 4 asubuhi
 
Back
Top Bottom