Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huu ukweli, hata nilikua sijui kama kuna selfika na sikuwa interested na hayo makitu.

Ulinivuta huku wewe, japo naona kumejaa villagers and teenagers. ukiona mtu vitu anajisifia navyo unabaki na mshangao tu
Umetutusi sana bro
 
Tatizo CCM wote wezi
Hilo neno wote limetumika vibaya. Haiwezekani kwenye taasisi watu wote wakawa na tabia moja.

Ndio kwa wingi wa ccm unaona kama wote wezi. Ccm ina active members zaidi ya mil 12. Kukiwa na wezi 50000 huwa inaeokana kama wote hao zaidi ya mil 12 ni wezi
 
Huu ukweli, hata nilikua sijui kama kuna selfika na sikuwa interested na hayo makitu.

Ulinivuta huku wewe, japo naona kumejaa villagers and teenagers. ukiona mtu vitu anajisifia navyo unabaki na mshangao tu

Ila Kantri akili zako unazijuaga mwenyewe
Twende tukarekebishe vifungu vya sheria zetu tulizojiwekea jf
 
Unazuga uko kwenye usingizi mzito unamuacha baba yake na yeye iwe zamu kubembeleza.
Kuna muda kweli nakua nimechoka namuomba anisaidie !
Juzikati hapa kuna jirani alifiwa na kachanga mamamtu eti alisinzia kidogo usiku anaamka kumnyonyesha na kumuangalia ambadilishe diaper amekuta mtoto keshakauka zamaniiii! Basi naogopajee so mi muda mwingi nalala mchana wanakua wamenisaidia kumbeba ili usiku nikeshe kodo!!
 
Huu ukweli, hata nilikua sijui kama kuna selfika na sikuwa interested na hayo makitu.

Ulinivuta huku wewe, japo naona kumejaa villagers and teenagers. ukiona mtu vitu anajisifia navyo unabaki na mshangao tu
Villagers teenagers na wazee tunaozeeka vibaya!!

Muwe na weekend njema wapendwaaa enjoy your evening & Night!!✌️
 
Najiselfisha kiaina
 
Attachments

  • IMG_20230811_184142_765.jpg
    IMG_20230811_184142_765.jpg
    170.7 KB · Views: 1
  • IMG_20230811_184256_842.jpg
    IMG_20230811_184256_842.jpg
    137.7 KB · Views: 1
  • IMG_20230807_122044_077.jpg
    IMG_20230807_122044_077.jpg
    127 KB · Views: 1
Back
Top Bottom