Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na sie tufanye tumlete Kantri Jr haiwezekani tuiache JF bila ya kuitendea haki
Kwakweli uduguuu hebu testini kama mna vizazi kwaniii,πŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈ!! Kantriii asijenipopoa buree lolπŸ™ŒπŸ˜‚!
 
🀣🀣🀣🀣🀠🀠🀠🀠!! Ukiwa tayari nistue niwabless kachanga uduguuu afu maziwa ni mengii sana hadi anapaliwa sijui nifanyeje!! Sikuhizi pozi la kuselfika sinaa uduguuu nguo inajaa maziwaa hadi zinaweka alama na tits zimejaa kama za Ng'ombe anaenyonyesha🀠🀠🀠🀠!
Trumbo sasa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜
Kumbe tayari mbona hujasema jamani hongera sana
 
Santrooo sana babuu watoto ni barakaaaa na kuzaa ni raha sana jr alikua ananidekea hadi sio poa 🀠🀠!!
Nisubiri picha hapa hapa au utamleta anisalimie wakati wa likizo?

Mpe pongezi Mkwe wangu Mjeshi, kwa kweli naona anafidia ile posa kubwa aliyokutolea πŸ€—πŸƒπŸƒ
 
!! Ukiwa tayari nistue niwabless kachanga uduguuu afu maziwa ni mengii sana hadi anapaliwa sijui nifanyeje!! Sikuhizi pozi la kuselfika sinaa uduguuu nguo inajaa maziwaa hadi zinaweka alama na tits zimejaa kama za Ng'ombe anaenyonyesha!
Trumbo sasa

Subiri kupoe kwanza nitashindwa kumuona vizuri Miongozo Jr
 
Kwakweli uduguuu hebu testini kama mna vizazi kwaniii,!! Kantriii asijenipopoa buree lol!
Hapana siwezi hata siku moja, rafiki wa cute wife ni rafiki yangu pia and vice versa. But nina maswali kwako ukipenda utajibu, lakini kama ni magumu it's okay kutojibu pia. Worry out
 
Nisubiri picha hapa hapa au utamleta anisalimie wakati wa likizo?

Mpe pongezi Mkwe wangu Mjeshi, kwa kweli naona anafidia ile posa kubwa aliyokutolea πŸ€—πŸƒπŸƒ
Niitie na Mjukuu wako Missy Gf na Cute Wife babuu mtrotro mzuree kamama mamake 🀭🀭🀭! Wajua Mjukuu wako sitoagi bokooo babu she's so beautiful


Salamu Zimefikaa babuuuu Saivi yupoo amerudi rasmi!!
Likizo tutakuja wote kuwaona na bibi
 
Hapana siwezi hata siku moja, rafiki wa cute wife ni rafiki yangu pia and vice versa. But nina maswali kwako ukipenda utajibu, lakini kama ni magumu it's okay kutojibu pia. Worry out

Unavyopenda maswali 2025 uende mjengoni ukawa changamshe kina msukuma na maswali wanakula kodi zetu bure
 
Back
Top Bottom