Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Niliingia kulala na nimeamka nimeanza kusoma msg za babe wangu CW hata sijafatilia kilichoendelea!!!

Sema km sio za muhimu hizo tags achana nazo, tuendelee na yaliyopo bana

Ko sasa vipi mbona hujanijibu Miongozo Jr utamleta lini kwa auntie yake Mrs CW [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna cake nataka nimpe
Jr sio damu yenuu uduguuu ilaa atakuja kula kekiii anazipenda balaa...
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]


[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]
Penseli comments ni nyingi nimeshindwa kusoma zote. Utanikunbusha tuliishia wapi

Leo si ni weekend vile? Basi tukutane baadae kidogo, mpaka nikuvalishe pampers
 
Mungu akubariki Mkuu,heri unatambua hilo la kututia moyo kwa kutusapoti...Wanawake wadangaji wanatuona wajinga[emoji1787]
Wewe niungishe tu,usiwe na hofu kabisa...Ninajali sana privacy za wateja wangu.
Yes kaza buti
 
Niko poa udugu ila usiku wangu ulikuwa wa hovyo sijaona, nimeota naruka mabweni ya MU

Nimejishangaa niko juu kule samiti afu ngazi sizioni za nje, naziona za ndani na siwezi kuzifikia hapo kibasila, nikaruka nikafikia ngazi nikatoka. Ghafla nipo Kinje nika survive nikatoka, sijatulia nashangaa nipo juu kunambi nimetoka nimepelekwa Sophia, nimetoka nahema nikaibukia Nah hall nyie nikamuona Prof Wiketye ananiangalia na yale mashavu yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hizi Dawa leo sinywi nitakufa aiseeee naota vitu ambavyo sivijui
[emoji1787][emoji1787]
 
Niliingia kulala na nimeamka nimeanza kusoma msg za babe wangu CW hata sijafatilia kilichoendelea!!!

Sema km sio za muhimu hizo tags achana nazo, tuendelee na yaliyopo bana

Ko sasa vipi mbona hujanijibu Miongozo Jr utamleta lini kwa auntie yake Mrs CW [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna cake nataka nimpe
[emoji1787][emoji1787]
 
Umekuja mapema sana haupo busy huko?
Ngoja nimalizie malizie mambo, si weekend leo haraka ya nn?
 
Fanya mambo au km vipi tupia ya ka baby [emoji12]
Nawashwa na huyo mtoto km umemdhulumu kaka angu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤠🤠🤠🤠!! Ukiwa tayari nistue niwabless kachanga uduguuu afu maziwa ni mengii sana hadi anapaliwa sijui nifanyeje!! Sikuhizi pozi la kuselfika sinaa uduguuu nguo inajaa maziwaa hadi zinaweka alama na tits zimejaa kama za Ng'ombe anaenyonyesha🤠🤠🤠🤠!
Trumbo sasa 🙌🙌🙌🙌🙌😁
 
Back
Top Bottom