Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Maana nikikaa nikiinuka nawaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukitaka umuweze mtu,mpe hela yote kama hivi.. halafu kazi ibaki kwake sasa.

Jamaa ametuma hela jumla jumla hadi ya kutolea.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Deni limebaki kwangu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hana shida babe wangu ndiomana anawindwa sana na nyaku nyaku
Wewe relax hiyo cake haina haraka
 
Aje shem aninunulie tajiri hana longo longo pesa kwake km kuchota maji baharini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mhhh hela ya ceres hajatuma tukimuomba atujazie full tank si ndyo atajitoa jf kabisa
 
Dr Lizzy Jana nimekuzidi portion
Ahhhhhh wapi!!!!!Labda hapo kwenye yai tu.... 😆😆😆😆😆

Njoo ule sambusa.
20230811_152320.jpg
 
Back
Top Bottom