YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Una mia ya karibu hapo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222]
Una mia ya karibu hapo?
😂 😂 😂Subutuuu labda uwe umeichambiaa kwanza ndyo utumee
Maweeeeeee tumeishaaa
Umeona [emoji23][emoji23][emoji23], Nimekutumia milioni kumi; gawa kwa kwa elfu kumi
Subutuuu labda uwe umeichambiaa kwanza ndyo utumee
Jibu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222]
Babe [emoji7][emoji7][emoji7]
Wambea piem wanasema eti utanitelekeza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jibu..
Sasa hivi anaserebuka kwa kutumiwa salio; ebu tumpigie makofi tafadhariThubutuuuuu!!! Naoga gerezani mchana kweupe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakayekutana naye njiani mpatie, utakuwa umenipatia mimiNinayo unataka nikukopeshe shem [emoji23][emoji23][emoji23]
Mie treinnaahhh nipo furuuuuu kuhusu selfii msijareee kabesaa!!Achana nazo we selfika kwanza mengine achana nayo
Mfanyakazi analipwa mshahara mwisho wa mwezi, baada ya kuutumikia kwa siku 30Ko mpk aifanyie kazi?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Missy Gf huyu mwanaume atakuua achana naye
Sasa hivi anaserebuka kwa kutumiwa salio; ebu tumpigie makofi tafadhari
Utakayekutana naye njiani mpatie, utakuwa umenipatia mimi
We si ulikuwa unampigia debe nashukuru umeona mambo yake