Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Uduguuu Una nn lakini?? Nimechekaaa had bas,
poleeee sanaa mwayaaa.

Udugu had Ex wangu President T na Mr MU nimewaota leo na niliwahi kuwagonganisha unaambiwa ilikuwa kivumbi!!!!! Hii ndoto sijaielewa kabisaa afu nilikuwa kwenye campaign za kumpitisha MUSO na huyo ex simjui kwenye uhalisia, namuona ndotoni

Afu eti nakaa Kingo na best angu Asnath anatoka na Prof Kinemo dah!! Hii ndoto ishindwe me hayo mazingira mbona siyajui kabisaa
 
🎵🎵🎵You're sweet like pipi mamaa
I can fight
I can kill someoneFor you
Because am in danger zone (oh no)
This feeling feeling that am feeling
It's too much
I see future, life with you is so brighter
Nakupenda sana, you know that
I'll die for you
Ooh sweet heart, life with you is so sweeter
Nakupenda sana, you know that
Nakupenda sana, you know that
Yeah🎵🎵🎵😍
 
Jamani jamani
Naenda pokea meseji nzuri duniani hapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣


Airtel Mjep boss wangu,tajiri wa roho
Mteule katika safari ya Mbinguni,,uzuri tutakaa wote seat zinazofuatana..wakitoka Malaika,seat zinazofata ni zetu.
Mdogo wangu
Huu ujumbe ninaiprint naufanyia lamination kabisa
Umetisha sana hata Doto Magari hakufikii😅😅😅
 
Dr Lizzy mwite sultan mwambie aungie live Aaliyyah njoo ule usile tena bilian
83B43011-E735-4E03-AE0B-618C2A304BA7.jpeg
Gily Gru mwite shemeji
 

Attachments

  • 4E036AC2-D485-4BAD-B1A2-BEAF4A0442CB.jpeg
    4E036AC2-D485-4BAD-B1A2-BEAF4A0442CB.jpeg
    53.5 KB · Views: 4
Back
Top Bottom