Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakujui huyu eeeh?
Hebu muonyeshe kidogo,[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sina mda, nisha staafu JF nishaifanyia nilivyotaka kuifanyia, na yenyewee ikanipaa malipo ya nilichoifanyiaaa.

Na relaaaaaaaaaaaaxxxxxx!! Kwa sauti ya shusho.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cute Wife uduguuuu hebu nenda kwa page ya Nelly Kamwelu, kaangaliee alivyojilipuaaa.

Nasemajeee nasemajeeee mambo sasa wazi wazi kwann kujibanaaaa, nimependa vile vidonge alivyowapaa waja wanokooooo, nampendajeee Nelly hajawahi niangushaaaaa!!!!!

Watu weuweeeeeeeee!!!!!! [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Uko poaaa uduguuu??

Niko poa udugu ila usiku wangu ulikuwa wa hovyo sijaona, nimeota naruka mabweni ya MU

Nimejishangaa niko juu kule samiti afu ngazi sizioni za nje, naziona za ndani na siwezi kuzifikia hapo kibasila, nikaruka nikafikia ngazi nikatoka. Ghafla nipo Kinje nika survive nikatoka, sijatulia nashangaa nipo juu kunambi nimetoka nimepelekwa Sophia, nimetoka nahema nikaibukia Nah hall nyie nikamuona Prof Wiketye ananiangalia na yale mashavu yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hizi Dawa leo sinywi nitakufa aiseeee naota vitu ambavyo sivijui
 
Uduguuu Una nn lakini?? Nimechekaaa had bas,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee sanaa mwayaaa.
 
Back
Top Bottom