Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Cute Wife uduguuuu hebu nenda kwa page ya Nelly Kamwelu, kaangaliee alivyojilipuaaa.

Nasemajeee nasemajeeee mambo sasa wazi wazi kwann kujibanaaaa, nimependa vile vidonge alivyowapaa waja wanokooooo, nampendajeee Nelly hajawahi niangushaaaaa!!!!!

Watu weuweeeeeeeee!!!!!! [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Wee kuna nini? Ig mbona imechachuka sana hii week kwann?? Hebu fumba macho tuombe kuna ndoa na mahusiano yanaenda kuvunjika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anatoa ushauri yeye km nani? Humu tuna comment chochote, mwenye uchungu akazae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Vipi shogare naona umeamka na mood ya “Usiniguse”
Shogaangu umeamkajeee umepona????
Namkanya totoo yasije kumkuta naona mambo si mambo
 
Uduguuu Una nn lakini?? Nimechekaaa had bas,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee sanaa mwayaaa.

Udugu had Ex wangu President T na Mr MU nimewaota leo na niliwahi kuwagonganisha unaambiwa ilikuwa kivumbi!!!!! Hii ndoto sijaielewa kabisaa afu nilikuwa kwenye campaign za kumpitisha MUSO na huyo ex simjui kwenye uhalisia, namuona ndotoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Afu eti nakaa Kingo na best angu Asnath anatoka na Prof Kinemo dah!! Hii ndoto ishindwe me hayo mazingira mbona siyajui kabisaa
 
🎵🎵🎵You're sweet like pipi mamaa
I can fight
I can kill someoneFor you
Because am in danger zone (oh no)
This feeling feeling that am feeling
It's too much
I see future, life with you is so brighter
Nakupenda sana, you know that
I'll die for you
Ooh sweet heart, life with you is so sweeter
Nakupenda sana, you know that
Nakupenda sana, you know that
Yeah🎵🎵🎵😍
 
Jamani jamani
Naenda pokea meseji nzuri duniani hapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣


Airtel Mjep boss wangu,tajiri wa roho
Mteule katika safari ya Mbinguni,,uzuri tutakaa wote seat zinazofuatana..wakitoka Malaika,seat zinazofata ni zetu.
Mdogo wangu
Huu ujumbe ninaiprint naufanyia lamination kabisa
Umetisha sana hata Doto Magari hakufikii😅😅😅
 
Dr Lizzy mwite sultan mwambie aungie live Aaliyyah njoo ule usile tena bilian
83B43011-E735-4E03-AE0B-618C2A304BA7.jpeg
Gily Gru mwite shemeji
 

Attachments

  • 4E036AC2-D485-4BAD-B1A2-BEAF4A0442CB.jpeg
    4E036AC2-D485-4BAD-B1A2-BEAF4A0442CB.jpeg
    53.5 KB · Views: 4
Nyiee[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mjep ni mzungu
[emoji119][emoji119]



Mtanikoma na jezi yangu ya Liverpool
Yaani mtanikoma humu ndani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji91]


Mjep [emoji7][emoji3060][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Wewe Mbinguni ni uhakika ,Haina mpinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdogo wangu
Huu ujumbe ninaiprint naufanyia lamination kabisa
Umetisha sana hata Doto Magari hakufikii[emoji28][emoji28][emoji28]
Ni vile tu siingii sana IG

Yaani hata mwijaku haoni ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Huna baya,usife
Hata ukifa hauozi
Na ukioza haunuki
Hadi masihi anarudi wewe tunaenda wote Mbinguni [emoji91]
[emoji23][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom