Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,334
😅😅😅 sasa hivi naonana na Depal wengine hapanaaaaAcha uoga kijana🤣🤣
Unachelewa wapi sasa bana unaniuziiii🤣🤣🤣Alafu likaka lizuri balaa namlia timing kudadeki alafu aunt Yako nina kasauti ka kudeka
Nasemaje nasemaje nimekaa pale😂😂😂😂
😂😂😂Mimi bhana Yani mtu kunivuruga ni dakika sifuri tu lakini nikikaa sawa siachaji kesi kizembe Kwa kifupi uyo bwana nambeba Yani jumla 😂😂😂😂magoti yote yalikwisha nguvu 😅😅😅
Pole sana..
Ukiwa unasema ‘nasemaje nasemaje’ unatakiwa ukaze sauti😂😂😂😂Alafu likaka lizuri balaa namlia timing kudadeki alafu aunt Yako nina kasauti ka kudeka
Nasemaje nasemaje nimekaa pale😂😂😂😂
Ndio ndiooooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂Mimi bhana Yani mtu kunivuruga ni dakika sifuri tu lakini nikikaa sawa siachaji kesi kizembe Kwa kifupi uyo bwana nambeba Yani jumla 😂😂😂😂
Mloge muweke kwenye chupa kabisa, aone wasichana wengine kama tumbili🤣🤣Nilikuwa natafakari nafanyaje nimejipima namuweza na hapa hapindui akileta ujinga namroga Yani hapa ukinipa mm nambeba Yani natak huko pm wasizame tu wazamie 😂😂😂
Asumaniiiii😂😂😂😂Ukiwa unasema ‘nasemaje nasemaje’ unatakiwa ukaze sauti😂😂😂😂
Ili wasikuzoee kweli
Nitafute boda boda sasa nirudi home nikalale 🤣Ukiwa unasema ‘nasemaje nasemaje’ unatakiwa ukaze sauti😂😂😂😂
Ili wasikuzoee kweli
subiri umetangaza vita kabisaa kuwa unataka umbebe bwana yake eeh 😅😅😅😅 mie nakaa hapo naangalia mtanange ...😂😂😂Mimi bhana Yani mtu kunivuruga ni dakika sifuri tu lakini nikikaa sawa siachaji kesi kizembe Kwa kifupi uyo bwana nambeba Yani jumla 😂😂😂😂
Kwakweli waliniumiza hii kesi ndogo siwez kumuacha Mungu ni usumbufu kama wamenipa bwana mm ni. Nani nikatae😂😂😂Ndio ndiooooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
subiri umetangaza vita kabisaa kuwa unataka umbebe bwana yake eeh 😅😅😅😅 mie nakaa hapo naangalia mtanange ...
😂😂😂😂😂subiri umetangaza vita kabisaa kuwa unataka umbebe bwana yake eeh 😅😅😅😅 mie nakaa hapo naangalia mtanange ...
Ndio hapo sasa🤣🤣Kwakweli waliniumiza hii kesi ndogo siwez kumuacha Mungu ni usumbufu kama wamenipa bwana mm ni. Nani nikatae😂😂😂
🤣🤣🤣 Em lalaJesus😆
Ndio aliekutuma? Pole sana, kwako wewe, aunt yako na mjomba nchumali mwenzenu.
Pole sanaa mdogo wangu
Poleeeeee sanaaaaa, I can feel you, pole toto
Haya mwambie aunt yako arudi online, ushamaliza kazi aliyokutuma😆
Mjomba wasije wakaniroga hapo watu Wana type tu sahiz pm 😂😂😂wengine sahiz wanatak kuaachana😂😂subiri umetangaza vita kabisaa kuwa unataka umbebe bwana yake eeh 😅😅😅😅 mie nakaa hapo naangalia mtanange ...
Lala mdogo wangu usisahau kuwaombea hao watu Mungu awaponye hiyo roho ya chuki na makasiriko iwatokeAunt hayuko online katuma kibaraka😂
Nashangaa kona nyingiiii, mara gono, mara ukimwi, sijui nimegongwa sielewi😆
Sasa yule dada nimemkosea nini mimi😂
Anyway, I pray for her, mental health is real.
Nalala dada🥰
😅😅😅😅 mie simooo.. shangaziii umelianzisha mwenyeweeee..Mjomba wasije wakaniroga hapo watu Wana type tu sahiz pm 😂😂😂wengine sahiz wanatak kuaachana😂😂
njoo tulale home 😊😊😊Nitafute boda boda sasa nirudi home nikalale 🤣