Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Kabisa mpedwaHizi movie za humu ndani sitokaa nikakuta na mtu yoyote JF.. tubaki hivi hivi... yaishie humu.. wanaweza kukutumia hata wezi.. watu wana roho mbaya mno humu.. kitendo cha kutengeza maneno huyo mtu ujue ni mchawi wa daraja la juu sana 😅😅
Usiku mwema maana hata hii usiku mwema wataenda izushia huko pm kwamba tayari😜😁😁😁