Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,818
- 10,709
Aunt kama aunt😆😆😆😆
Haya buana, sina la kusema
Ila wapendwa, tuwe tunaombeana maana depression and mental health is real
Aunt kama aunt😆😆😆😆
Njoo unifate basi nipo mataa hapanjoo tulale home 😊😊😊
tuchochee kuni wote watoke huko tujue mbivu na mbichi mambo ya unafikia na kuanza pakazia watu mambo ya ajabu ajabu haifai wasomi wazima wamama na watoto wao alafu waakuwa chenga chenga sio nzuri aisee.. inasikitishaa sanaa🤣🤣🤣 Em lala
Among all people sijategemea kama ni yeye. Anafanana sana na dada angu mmoja hivi, ila daaahh😆😆😆😆Lala mdogo wangu usisahau kuwaombea hao watu Mungu awaponye hiyo roho ya chuki na makasiriko iwatoke
Sema aunt kazingua🤣🤣
She should act her age, hizi kutukanana na kudhalilishana ni ujinga na utoto.
Ndio hapo sasa, washaanza kutajanatuchochee kuni wote watoke huko tujue mbivu na mbichi mambo ya unafikia na kuanza pakazia watu mambo ya ajabu ajabu haifai wasomi wazima wamama na watoto wao alafu waakuwa chenga chenga sio nzuri aisee.. inasikitishaa sanaa
😅😅😅😅 wachawi huwa wanakulana nyama wakiishiwa nguvuNdio hapo sasa, washaanza kutajana
Mjomba walinikwaza yani kikwelikweli alafu nilikuwa na stress za vikoba nadaiwa 😂😂😂ila nilishasamehe nilipofanya Kosa kutaniana na mtu kuongea na mtu nimejifunza dramazao siziwezi kwakweli Mungu awasaidie wapate ela waanze kudiscuss biashara 😂😂😂😂😅😅😅😅 mie simooo.. shangaziii umelianzisha mwenyeweeee..
Umdhaniaye ndiye 🤣🤣Among all people sijategemea kama ni yeye. Anafanana sana na dada angu mmoja hivi, ila daaahh😆😆😆😆
I dunno why am laughing ila tuseme amina
Igweeeeeee😂😂😂
Ugalii?? Interesting 😏😏😏😆😆😆😆😆
Mwenzio anajitafutia kaugali kake
I will die for you fan😂😂
Wammaa tumekosa tusamehe 😂😂tuchochee kuni wote watoke huko tujue mbivu na mbichi mambo ya unafikia na kuanza pakazia watu mambo ya ajabu ajabu haifai wasomi wazima wamama na watoto wao alafu waakuwa chenga chenga sio nzuri aisee.. inasikitishaa sanaa
😅😅😅 nimechokaa kabisaa nyie wamama humu tunategema muwe nguzo kumbe ndio.mnatumia tuvijana hutu kuja kutukana na kuzushiwa watu humu maneno.. daah! mashangazi hamna maana walahiii 🥴🥴🥴Wammaa tumekosa tusamehe 😂😂
Mjomba naomba nilale kesi ngumu Mimi sichelew kulia 😀😀😀waja wakiamka hapa patakuwa hapatoshi😅😅😅 nimechokaa kabisaa nyie wamama humu tunategema muwe nguzo kumbe ndio.mnatumia tuvijana hutu kuja kutukana na kuzushiwa watu humu maneno.. daah! mashangazi hamna maana walahiii 🥴🥴🥴
Daaah! wame fail kinoma noma yaaani.. mtu mzima kutuma tuvijana hutu kutukana watu dahKatumwa mbona tangia kitambo niliusoma mchezo, I'm glad amesema mwenyewe leo
Najua kuhesabu namba moja mbili tatuuuu
Huyu shangazi katoa bokoo.. 😅😅😅 haendani na hii movieLala mdogo wangu usisahau kuwaombea hao watu Mungu awaponye hiyo roho ya chuki na makasiriko iwatoke
Sema aunt kazingua🤣🤣
She should act her age, hizi kutukanana na kudhalilishana ni ujinga na utoto.
Na hizo picha ni zilitumwa kitambo selfika, I think mwaka jana sasa jiulize huyo dogo kazitoa wapi kama hajapewa na aunt yake asambaze kutuchafua.Daaah! wame fail kinoma noma yaaani.. mtu mzima kutuma tuvijana hutu kutukana watu dah
huyo shangazi hapana kwa alichofanya .. mmmh.. hapana aisee..Aunt kama aunt😆😆😆😆
Haya buana, sina la kusema
Ila wapendwa, tuwe tunaombeana maana depression and mental health is real