Watu wabaya sanaDah! Nimekosa mimi , nimekosa mimi mdogo wangu mzuri 😊😊😊 Sikategemea hii kitu dah.. kumbe tunacheka hapa .. nyuma ya stage wanatuua
😅😅 tumekamata mwizi shangazi .. usiondokeMjomba naomba nilale kesi ngumu Mimi sichelew kulia 😀😀😀waja wakiamka hapa patakuwa hapatoshi
😆😆😆Ila Lenie unanichekezhaga sana dp nzuri hivyo ila uhalisia sasa 🤣🤣🤣🤣🤣
Nipo kwenye boda boda hapaWe si mchochezi acha kivumbi kiwake vizuri leo.
Tutalala majogoo. Tu 🤣🤣🤣 kwani unateseka ukiws wapi
Nimechoka mwili na roho mjomba😅😅 tumekamata mwizi shangazi .. usiondoke
hapa katoboa boko, nilikuwa namkubali na kumushemi sana ila kwa hilo picha acha ale matunda yake.. kazingua ile mbayaaNa hizo picha ni zilitumwa kitambo selfika, I think mwaka jana sasa jiulize huyo dogo kazitoa wapi kama hajapewa na aunt yake asambaze kutuchafua.
I just feel sad n sorry for her, she is so beautiful kutuma wajinga wajinga watukane na kuchafua wasichana wenzake bila kujua anajichafua pia yeye
mwizi achomwe moto men 😅😅😅Nimechoka mwili na roho mjomba
😆😆😆Ulikipenda ndo unachoikipigia ndevu sio.
Ndevu ndo mbona zinapendwa sana embu ingia google hapo uone stats.
Anyway bora mimi nilituma ndevu ww wakutuma kifua kisicho na chuchu 😆😆😆 zilikatwa au??
alafu chochonde chonde asinigusie katoto kangu Depal ...akome kunizeesha mtoto wangu 😅😅😅😅Don’t you feel sorry for yourself?
Uko chuo, unamiliki nini eti?
Hujionei huruma wew ni mwanaume, kutwa kusifia mashangazi humu ndani,
Kujitumisha vichipsi eti nimetoka field nimechoka😂
Ofisi za watu utumike, Antonnia akutumie pia kuchafua watu
Hujiskii aibu kama mwanaume
That’s so poor baby boy, so poor
Pole, pole sanaa mdogo wangu
wenye midevu yetu tumekaa pembeni tunamuangalia 😅😅😆😆😆
Ukitaka kujua we ni aibu, kituko, fedhea ni ile siku ilipojitumisha kapicha. Hao unaoita mashangazi walikucheka😂
Maana unavyozalilisha watu unadhani wew ni bora zaidi
Kata hizo ndevu bruh, wanaume wenye ndevu hawana usichana ndani yao, usiwe unatuma vipicha vyako vya aibu humu ndani
akome kabisa kunizeeshe mtoto wangu 😅😅😅 bado hajawa shangazi ashike adabu zake zote🤣🤣🤣
Aiseee
I'm happily married with 2 kids🥰😂😂😂😂
Ila we kaka Unateseka na maisha yangu, unajua saiv nimefungua PM, saiv nimefunga
Aiseeeee😂😂🙌🙌
Aunt yako kaolewa na nani? Ungekuta yuko selfika kusubiri vocha za Mjep?
Ungekuta anatuma picha yuko na mtandio?
Anatafuta nini Kwani? If she is happy married with beautiful kids😂😂😂
Toka nje ya JF and gave the truth, jaribu kumtembelea huko alipo uone maisha anayoishi, then compare it with any of us Lenie Depal au mimi
Ni mbingu na ardhi, so chill baby boi chill
Kuna miujizaa🤣Watu wabaya
Wanataka wakufundishe ushirikina Aposto(Kwa Sauti ya Extrovert )
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣 Kuna watu wakizeeka wanafikiri wote wamezeekaakome kabisa kunizeeshe mtoto wangu 😅😅😅 bado hajawa shangazi ashike adabu zake zote
SamalekoKuna miujizaa🤣
Waleko msalammmmm 😂Samaleko
katoto kangu kenyewe kazuri.. hakana matukio ya ajabu ajabu nijitunziaaa 😅😅🤣🤣🤣 Kuna watu wakizeeka wanafikiri wote wamezeeka