Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani humu ukishamuwekea member imoj[emoji7][emoji3590] Kuna watu wanaenda tengeneza story huko jamanii tayari fulani na fulani wamekulana[emoji16][emoji16][emoji2304]
Wala msianza kufichaficha huyo ni penseli pamoja na ndugu yake cocastic. Huu uoga wenu wa kutowataja ndio unafanya hawaachi hii tabia
 
Mnachekesha 😄😄

Wa 24/7 si unaanzaga na wewe 🤣🤣🤣
Af kuna sisi tunafanya kazi play station
Tuko na desktop 24/7
Tuna bando
Wacha tukeshe ban
 
Yaani humu ukishamuwekea member imoj😍❤️ Kuna watu wanaenda tengeneza story huko jamanii tayari fulani na fulani wamekulana😁😁🙆🏾‍♀️
😅😅😅😅.. wanakutengeze movie kamili hadi namba ya chumba mlicho nalala na jina la hotel.. na siku ya kwenda kuchukua dose wanajua.. humu kuna vichwa panzi haswaa
 
Niko hapa Darlin [emoji52][emoji52][emoji52][emoji52].

Umeamua uyamwage sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Deal done najua imekugusa [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] embu lamba lolo ulale

Totoo na shingo yako hiyo
Hapo unatamani uwe kama yeye? Yani na wewe uwe na boobs, kiuno laini, tako, si ndio?

Sasa si uende ukafanye surgery. Kuna wale shemales na tranny's mbona wao wameweza?
 
Hebu muambie atume kabisaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee usitakee kesho niumbukeee, akuuuu.

Mimi pesa ipo sihitaji danga wala bwana, nishawahi kukudanganya wewe? Mwachiluwi ebu mpe taarifa zangu coca [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nina pesa za majini haziishi, hebu selfika nione rangi traaamu ya toto la kingoni linalomvuruga Mjep [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
😅😅😅😅.. wanakutengeze movie kamili hadi namba ya chumba mlicho nalala na jina la hotel.. na siku ya kwenda kuchukua dose wanajua.. humu kuna vichwa panzi haswaa
Afadhali yamekukuta... then you will take back a look.


Mkifanyiwa nyie mmesingiziwa
Wengine walifanya kweli
Nyoko zako babe... haya tukalale 😘😘
 
Tuone km yaliyomo yamo sio kujikosha tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bana wee si miaka ile WhatsApp inaingiaingia, Kuna pisi moja ina sura kali sana kila nikiomba picha natumiwa sura tu nikasema huyu ndio enyewe yani

Hapa na pale tukapanga kumeet kule juu akemi(nadhani unapajua), alafu nilikua na tag siku hiyo wana wametulia wanakula vitu na baby zao, mm ndio nasubiria kuosha na huyu.

Kumbe meno yameungua alafu miguu njiti kinomaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…