Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Sasa sie na minywele yetu tumekukosea nini wajameni

Embu tupumzishe na makomwe yetu sieπŸ˜’πŸ˜‚
🀣🀣 ndio manotilesi? Mara meusi mara ya gold sijui kaki?

Mko kama majini πŸ˜‚πŸ˜‚
Mbona kusuka styles ziko mob
Mchawi kibunda? Si mnyoe? Kunyoa ni buku
 
Acha mikwara wewe😁😁
 
ndio maana kapotea maskini, nilivyopata changamoto.. alinipa moyo na pole PM.. mama mchungaji wa watu hana ubaya dah
Yupo busy tu na majukumu ya kulea.
Wapumbavu wachache hawawezi mtoa kwenye reli.


Nakumbuka hata kipindi kile Cha msiba wa Mzee,alikuonea huruma mno,akaniambia nikupe pole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…