Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Kumbe hadi PM kwa wanaume wenzie anaenda, mbona kuna makubwa huku
Mie juzi kaniongelea sana, nishamuona mjinga nimemuacha ajitekenye, hasara tupu๐Ÿšฎ
Chuo ameenda kusomea ujinga
Piga block mbwa mbwa wote ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Yule baba wenzake wanampelekea umbea
Na yeye anautoa nje
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Hivi unajua wale sio wazima?
Sema napenda sekta yake ya kukana
Mjomba anajua kukana yule ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Yule sio baba, ni anko nchumali
Asie na range wala hela lakini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
ndio maana kapotea maskini, nilivyopata changamoto.. alinipa moyo na pole PM.. mama mchungaji wa watu hana ubaya dah ๐Ÿ˜”
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Sasa sie na minywele yetu tumekukosea nini wajameni

Embu tupumzishe na makomwe yetu sie๐Ÿ˜’๐Ÿ˜‚
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ndio manotilesi? Mara meusi mara ya gold sijui kaki?

Mko kama majini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mbona kusuka styles ziko mob
Mchawi kibunda? Si mnyoe? Kunyoa ni buku
 
Acha mikwara wewe๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
ndio maana kapotea maskini, nilivyopata changamoto.. alinipa moyo na pole PM.. mama mchungaji wa watu hana ubaya dah [emoji17]
Yupo busy tu na majukumu ya kulea.
Wapumbavu wachache hawawezi mtoa kwenye reli.


Nakumbuka hata kipindi kile Cha msiba wa Mzee,alikuonea huruma mno,akaniambia nikupe pole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilijaribu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Wuuueeehhhh nimenyanyua mikono juu
Nlitengeneza kwa Diddy expert kwa 70,000 mbona nlinyooka, nlivyotoka hapo ni mimi na knotless zangu za 20,000
Utapata kitengo mdogo wangu.. elfu 70 kitu gani banaa ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š.. Pendeza tu hadi wenye wivu wafe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ