Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,362
Hizo stori nimeambiwa juzi tu wiki hizihizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata habari nilikuwa sina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani sijui hata zimetokea wapi
Aliyezitunga ni mtungaji mzuri,akienda bongo movie anachukua tuzo mbona.
Uzuri Mimi sihangaishwi na mpumbavu yeyote humu,
Picha napost ninavyotaka Toka uzi umeanza..hakuna wa kunipgopesha humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hata wewe mdogo wangu 🥴🥴🥴Nimesikia pia eti Mimi na wewe tulikutana tukafanya yetu huko Dodoma wakati nimeenda kuchukua cheti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijui eti tukalala Morogoro tukasingizia gari limeharibika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akiyanani
Cheti nilichukua wakati wa graduu..
Kipindi kile wakati wa msiba tumekutana nimeenda kanisani,sijui cheti gani tena wadau walinitengenezea[emoji23][emoji23][emoji23]
Na safari ya Dodoma interview nikasafiri usiku kucha kuwahi kibarua Cha muhindi,nilipost picha nipo Msamvu nikiwa kwenye bus.
Nasikia ndo wanasema eti gari lilituharibikia hapo,sasa sijui siku hizi unaendesha mabus
Hizi stori zimenichekesha nikataka kuzimia.
Ngoja niweke na Ile selfie yetu ya Mlimani City siku Ile tumeonana nikiwa na ndugu zangu.
Sijui wataitungia story ipi safari hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Cha uzito wowoteDuh! Pole aiseee!! Huu mji ni mzito aiseee!!
Rafikianguuu nisamehe mnoShoga ako naumwa hata kunipigia simu kujua naendeleaje hutaki? Mimi huu ushosti napingua [emoji17][emoji17][emoji17]
jf imekuwa ya kishenzi kupita maelezo.. mie huko nimeambiwa nachezea watoto wa kike na kuwatelekeza ukiwaukiza nimalala nani hawajibu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]pa hovyo sana humu
Hata Mimi nashangaa kama wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata wewe mdogo wangu [emoji3061][emoji3061][emoji3061]
huyo mtu hatokuwa na maisha marefu labda sio mimi.. bora waendelee kunichafua mie ila wasiwaguse wadogo zanguu.. Kama sio mimi hicho kikundi kinacho sambaza hizi propaganda wakivuka huu mwaka.. nitaondoka mie ... Kuna mtu alitumiwa pm ananiheshimu sana akanionesha mikekaa nikasema mimi huyu au kuna mwingine.. atachomoka mmoja baada ya mwingine.. wataona kama utani ila utakuja niambia hapa zikianza tanzia ..
Weye haribu tu.. 😊😊😊Nakupigia simu.. nikuharibie mfumo
Watu wachache kuna mzee mmoja na maind sana hapa jf nilikuwa nipo bise na jukwaa la siasa kaanza kutmbea pm za watu kunizushia ya kunizushia
Nimesikia pia eti Mimi na wewe tulikutana tukafanya yetu huko Dodoma wakati nimeenda kuchukua cheti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijui eti tukalala Morogoro tukasingizia gari limeharibika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akiyanani
Cheti nilichukua wakati wa graduu..
Kipindi kile wakati wa msiba tumekutana nimeenda kanisani,sijui cheti gani tena wadau walinitengenezea[emoji23][emoji23][emoji23]
Na safari ya Dodoma interview nikasafiri usiku kucha kuwahi kibarua Cha muhindi,nilipost picha nipo Msamvu nikiwa kwenye bus.
Nasikia ndo wanasema eti gari lilituharibikia hapo,sasa sijui siku hizi unaendesha mabus
Hizi stori zimenichekesha nikataka kuzimia.
Ngoja niweke na Ile selfie yetu ya Mlimani City siku Ile tumeonana nikiwa na ndugu zangu.
Sijui wataitungia story ipi safari hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimesema sasaiv mtu atakavyo nijia ndivyo namjia nitamtukana mpak akatubu kwenye makabur ya kwao
Unanambia mie au unanifananishaa? Kipi unachotaka niongee huo ukweli unao utaka? Na huyo mchagga ni yupii??Hewa finaly umekuja ongea tujue ukweli hivi yule mchagga hajambo ??
Yeaah Dogoo, [emoji122]Sawa sawa. Kazi kwanza [emoji106][emoji106][emoji106]
hata wewe mdogo wangu [emoji3061][emoji3061][emoji3061]
huyo mtu hatokuwa na maisha marefu labda sio mimi.. bora waendelee kunichafua mie ila wasiwaguse wadogo zanguu.. Kama sio mimi hicho kikundi kinacho sambaza hizi propaganda wakivuka huu mwaka.. nitaondoka mie ... Kuna mtu alitumiwa pm ananiheshimu sana akanionesha mikekaa nikasema mimi huyu au kuna mwingine.. atachomoka mmoja baada ya mwingine.. wataona kama utani ila utakuja niambia hapa zikianza tanzia ..
🥴🥴🥴🥴 maskini mama mchungaji Heaven Sent hata kusikia sauti yangu au yake achana kuonana tu haijawai.. tokea..Hata Mimi nashangaa kama wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamemchulia hadi dada Mkubwa Heaven Sent
Eti Mimi na yeye wote umepita na sisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akiyanani jf sihami[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Rafikianguuu nisamehe mno
Nmekuwa busy kweli kweli
Nambie unaendeleaje
Aihh kwahiyo weekend hii hunywi bia 😏😏 sijapentraaaBado siko poa kivile, baridi linanitesa limeniletea homa nilijifanya mbishi kunywa dawa mwenyewe nakunywa bila kushikiwa fimbo[emoji17][emoji17][emoji17]
Makubaliano si yalikuwa ni kuachana na any kind of drama frm Jf? Then why u keep on? Huwezi kuignore? Kublock pia? Eishhhhhata wewe mdogo wangu 🥴🥴🥴
huyo mtu hatokuwa na maisha marefu labda sio mimi.. bora waendelee kunichafua mie ila wasiwaguse wadogo zanguu.. Kama sio mimi hicho kikundi kinacho sambaza hizi propaganda wakivuka huu mwaka.. nitaondoka mie ... Kuna mtu alitumiwa pm ananiheshimu sana akanionesha mikekaa nikasema mimi huyu au kuna mwingine.. atachomoka mmoja baada ya mwingine.. wataona kama utani ila utakuja niambia hapa zikianza tanzia ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]
Pole dada, raha ya huku ndani huna hili wala lile unashangaa una mimba tayari[emoji23][emoji23]