Selfika na JF: Snap it. Show it

hata wewe mdogo wangu πŸ₯΄πŸ₯΄πŸ₯΄
huyo mtu hatokuwa na maisha marefu labda sio mimi.. bora waendelee kunichafua mie ila wasiwaguse wadogo zanguu.. Kama sio mimi hicho kikundi kinacho sambaza hizi propaganda wakivuka huu mwaka.. nitaondoka mie ... Kuna mtu alitumiwa pm ananiheshimu sana akanionesha mikekaa nikasema mimi huyu au kuna mwingine.. atachomoka mmoja baada ya mwingine.. wataona kama utani ila utakuja niambia hapa zikianza tanzia ..
 
Hata Mimi nashangaa kama wewe

Wamemchulia hadi dada Mkubwa Heaven Sent

Eti Mimi na yeye wote umepita na sisi

Akiyanani jf sihami


Sent using Jamii Forums mobile app
 


Pole dada, raha ya huku ndani huna hili wala lile unashangaa una mimba tayari
 

Pole sana bro
Sasa wewe una ubaya na nani humu ndani

Au wanaona unawachukulia wanawake wao
 
πŸ₯΄πŸ₯΄πŸ₯΄πŸ₯΄ maskini mama mchungaji Heaven Sent hata kusikia sauti yangu au yake achana kuonana tu haijawai.. tokea..


Hawa watasepa mmoja baada ya mwingine ni kikundi cha watu..

Nimekuwa mualifu kiasia gani hadi kutembea nawe mdogo wangu dah πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”....
 
Rafikianguuu nisamehe mno
Nmekuwa busy kweli kweli
Nambie unaendeleaje

Bado siko poa kivile, baridi linanitesa limeniletea homa nilijifanya mbishi kunywa dawa mwenyewe nakunywa bila kushikiwa fimbo
 
Makubaliano si yalikuwa ni kuachana na any kind of drama frm Jf? Then why u keep on? Huwezi kuignore? Kublock pia? Eishhhh

Better urudi kwenye ile ID nyingine... Romeo na wewe wa 2021.

Yule niliyekuwa nampigia simu mpaka inakuwa ya moto 🀣🀣
Mxieeeeeew.
Ninyonyeshe mtoto alale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…