Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,325
- 2,590
achana naye, mwenyewe si mchoyo wa selfika [emoji34]Fanya chap mtandao voda
Huyo mwali wangu ananisikiliza mimi ndio kungwi wake tajiri [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
achana naye, mwenyewe si mchoyo wa selfika [emoji34]Fanya chap mtandao voda
Huyo mwali wangu ananisikiliza mimi ndio kungwi wake tajiri [emoji12]
Nimemuona na amenona kweli, akiolewa na equation x hatojuta; yeye kazi yake itakuwa ni moja tu 😀Ndoa bila kujua km pesa ipo?? Unataka ukamlishe nyasi?? Mtoto alivyo bomba hivyo afu umpaushe km kikoi cha wamasai wa Longido asubutuuu!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weeeee inatosha kwa leo hio mpka tena mwakani 😄embu weka vizuri tuone hizo air jordan retro kaa za Nipsey hustle😅
Wenye vitambi hawajui kazi, sisi ambao tuko flat ndio tuko vizuri kila idara 😀
Baada ya kutuma mtaji na kujiandaa saana kumbe changa la macho [emoji23][emoji23]View attachment 2710136
Sent using Jamii Forums mobile app
Oyaaa, jina litatoka nani?Hao utraaamu wao naujua mimi, kwanza wana pesa chafu afu hawachoshi mwili!!!
Wana vidyudyu vidogo kwenye kusuck unavidumbukiza vyote mpk pomboo [emoji2222][emoji2222]
ApiaTunataka tutete mambo mazuri ya uwekezaji
Kumbe wewe ni muoga wa mjeledi wa kukusulubisha 😀 😀Hao utraaamu wao naujua mimi, kwanza wana pesa chafu afu hawachoshi mwili!!!
Wana vidyudyu vidogo kwenye kusuck unavidumbukiza vyote mpk pomboo [emoji2222][emoji2222]
Sema unataka nini mrembo 😀Apia
Leta namba nikutumie kwa jfpesa sasa hivi; haiwezekani mtoto mzuri hivyo uhangaike kutafuta mtaji 😀
Kumbe wewe ni muoga wa mjeledi wa kukusulubisha 😀 😀
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo unaongea huku unatetemeka
Nina binamu yangu ana akili mbovu, ananiambiaga ukitaka kumkimbiza mwanaume mtajie pesa, hakusumbui tena
Mara nyingi wanaume wenye upeo mkubwa wa kufikiri, ukimtajia pesa, ata kama anazo; anatafsiri kuwa anauziwa, ikimaanisha hisia zinaletwa na pesa na si upendo kutoka ndani, na hii imepelekea wengi kuwa singo maza.
😀 😀 😀 hapo umeshindaJeuri ya kunisulubisha huna hilo nimekataa, sema kumpa burudani mtu asiye na maokoto sio kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unawatambuaje 😀Na uzuri na sie tunawatambua wenye pesa na wasio nazo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
basi check piemu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] cute wife
Mwenyewe nakuaminia 🙌Mimi master shivo sipangwi kwa uongo huo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]