National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
kagomaaa.. kasema nimkune kichwaa hadi alale ๐ ๐ ๐Hanaga noma huyo
kagomaaa.. kasema nimkune kichwaa hadi alale ๐ ๐ ๐Hanaga noma huyo
kagomaaa.. kasema nimkune kichwaa hadi alale ๐ ๐ ๐
Zama zinabadilika ๐Hanaga noma huyo
Jeeeez'
Kwahyo ndio umemfungia vizuriii๐Zama zinabadilika ๐
Acha ujeuri!!!!!!๐คจ๐คจ๐คจ๐๐๐๐ sitaki
Jamani....kwanini ni ๐ฅ๐ฅ ?? ๐๐คฃ๐๐คฃ๐๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Dakta umetishaaaa sanaaa au leo na wewe ulikuwa high on something eeeeeh ๐๐๐คฃ๐Jamani....kwanini ni ๐ฅ๐ฅ ?? ๐๐คฃ
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃIle comments nimeipenda aiseee ๐๐ฅ๐ฅ๐ฅ she must be eating them like tiger nuts Dr Lizzy ๐๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Ni ujinga tu umenijaa!!๐๐๐๐Dakta umetishaaaa sanaaa au leo na wewe ulikuwa high on something eeeeeh ๐๐๐คฃ๐
Hahahaaaaa janja sana wewee ๐๐๐คฃ ndio maana hata dogo janja yule naonaga anatupia sana pigo za kijanja mama yake anajua ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Jamani mie ni good girl ๐ฏ !!!!๐๐
Sema unajuaga kuna ile mmeanza tu mara ghafla mmebwagana....sasa ili kuwanyima kina hivi yule mshkaji wako/wake siku hizi vipi โcontent nakua natupia pia za kijanja walau miezi 6 ifike!๐๐ถโ๐ซ๏ธ
Hahahaaaaa ujinga ๐คฃ๐๐ haujanizidi mimi ๐Ni ujinga tu umenijaa!!๐๐๐๐
Ni kaujanja tu kamenijia ghafla maana mwaka juzi kuna mtu nilim-date kidogo basi maswali yalivyofuata sasa.....mpaka mwaka huu naulizwa!!!!๐๐๐Hahahaaaaa janja sana wewee ๐๐๐คฃ ndio maana hata dogo janja yule naonaga anatupia sana pigo za kijanja mama yake anajua ๐
Na usiache!! Ujinga ni afya ya akili!!!๐Hahahaaaaa ujinga ๐คฃ๐๐ haujanizidi mimi ๐
Na huyu mimi nimeshamkariri hicho kiwiko ukifanya mambo yako tu naanza kukuhesabia ๐๐๐๐คฃNi kaujanja tu kamenijia ghafla maana mwaka juzi kuna mtu nilim-date kidogo basi maswali yalivyofuata sasa.....mpaka mwaka huu naulizwa!!!!๐๐๐
Dah kweli aisee mda mwingine nafurahia sana haya mauza uza yangu ๐๐คฃ๐ na nikiwa na ninao fanana nao kama hapa nilipo basi ni kucheka tu kama mazombiee ๐คฃ๐Na usiache!! Ujinga ni afya ya akili!!!๐
Usikue hivyo basi!!!๐ณ๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNa huyu mimi nimeshamkariri hicho kiwiko ukifanya mambo yako tu naanza kukuhesabia ๐๐๐๐คฃ
Duh aiseee unajua kupanchuaaa wewee ๐คฃ๐ hamna bhana nakutania tu hahahahaaaaUsikue hivyo basi!!!๐ณ๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Utafanya nipige kiwiko chake picha nyingi alafu niwe nazitupia mdogo mdogo!!๐ซฃ๐๐
๐๐๐Dah kweli aisee mda mwingine nafurahia sana haya mauza uza yangu ๐๐คฃ๐ na nikiwa na ninao fanana nao kama hapa nilipo basi ni kucheka tu kama mazombiee ๐คฃ๐